Tahadhari

peri

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,579
1,164
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwa zinaa
inarithiwa
. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.
 
Muone na uthibitisho wake!

Tabia hazirithiwi bali zinaigwa...na wanao wasipoiga kwako wanaweza kuiga kwa mtu mwingine yeyote yule.Kwahiyo hata kama wewe una nidhamu omba Mungu mwanao asiwe iga iga ama asikutane na watu wenye tabia mbaya na wenye uwezo wa kumInfluence vibaya.
 
Ngoja nimtafte dokta njiwa na dokta riwa. Nina wasiwasi na taaluma yako.
 
Wala haihusu kabisa kama wazazi wa zinzi na watoto wawe the same,mbona utakuta mtoto anatoka kwenye family ya wasomo na akawa hajafata family yake hao tusemeje? rudi tena kachunguze.
 
Uwongo mtupu
mimi baba yangu sikuwahi sikia wala kuona ana mwanamke mwingine
zaidi ya mama.....

Sasa ukija kwangu mimi......
Well......how do i say this.....lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kurithi na kuiga? hebu dadavueni na risk factors, the guy might have a point. tushawishi ndugu,kuza kipaji!
 
Baba yake obama alikuwa kiwembe kwa wanawake
mpaka akafukuzwa havard kwa ajili ya wanawake....

Je obama amerithi tabia hiyo??????????
 
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwa zinaa
inarithiwa
. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.

Duh, hii kali unataka kusemaje sasa kuhusiana na wanapiga picha chafu inamaana na wazazi wao walikuwa wakipiga hizo picha chafu?
 
Alianza nani mpaka watoto wakarithi.

Labda useme hivi: Wazazi wakiwa na tabia mbaya (i.e Ulevi, uzinzi, wizi), kuna uwezekano wa watoto zao kuiga hizo tabia, zingatia neno uwezekano.
 
Kwa uchunguzi nilio ufanya nimetthibitisha kuwa zinaa inarithiwa. Ukiwa mzinifu kuna asilimia zaidi ya 90 kuwa na wanao watakuwa wazinifu. Jaribu kuchunguza mzinifu yoyote utakuta baba/mama yake au wote nao ni wazinifu au walikuwa wazinifu.tujiepusheni wandugu ili tuvinusuru vizazi vyetu kwani hata mwenezi mungu mtukufu anakataza zinaa.
Mi naona kuwa Mtu muadilifu ataweza kusimamia vema uadilifu ktk jamii yake. Wazazi au wanafamilia wengine ndio chachu ya maadili mema iwapo wao watakuwa waadilifu mbele ya wale wanaowaona kuwa ni mifano ya kuigwa kwao. Kiimani pia inaiminika kuwa kila jambo baya hulipwa hapa hapa Duniani mfano Mzinifu usifurahi kuwazini watoto wa wenzako maana hata wako nao wataziniwa na wengine. Hivyo inatakiwa tujilinde na yote yale mabaya ambayo tunaisi tukifanyiwa sisi yatatukwaza hii pia itatufanya kuwa kioo cha jamii inayotuzunguka na kukemea kwa nguvu zaidi ouvu ktk jamii zetu.
 
Baba yako ni kiwembe pia,sisi tunajua anadai wewe unatabia za kike utamtonya mama so anajificha sana usijue
Uwongo mtupumimi baba yangu sikuwahi sikia wala kuona ana mwanamke mwinginezaidi ya mama.....Sasa ukija kwangu mimi......Well......how do i say this.....lol
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom