Search results

  1. Detective J

    Wabunge wa mwendazake ni janga Kwa Taifa letu

    Kipengele cha kujua kusoma na kuandika kiondolewe. africa pekee ni tanzania tu ambayo ina qualification za hovyo kwenye ubunge, ndio maana tunapata watu wa ajabu
  2. Detective J

    Je, Awamu ya 4 ibebe Lawama kwa mambo ya muungano yaliyoondolewa kinyemela na kupewa Zanzibar? Karibu tujadili kwa facts

    Umezungumzia vichache mno but ni vingi sana ambavyo wabara wanakosa. Viongoz wasipo sikia na kuu fix hizi changamoto, then mbeleni utavunjika
  3. Detective J

    Tabia ya kutumia watoto wadogo kuomba misaada mtaani haivumiliki

    As usual kama fact ina waumbua wanafumbia macho, why linaachafua kisiasa. It all politics
  4. Detective J

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Lucas Mwashambwa hizi nchi zingine za jirani zetu, rwanda,uganda,kenya,malawi,zimabwe wao masharti yao yakoje mpaka wakawakubalia? Masharti yapi hapa nyumbani ambayo starlink ilishindea kuyatekeleza?
  5. Detective J

    Nape Nnauye: Hatukuwakatalia Starlink kufanya kazi Nchini, walikwama wenyewe

    Asipo kuelewa itakuwa ana hitilafu kwenye ubongo
  6. Detective J

    Ewe Nape ukitaka kuvutia matumizi ya Simu janja weka Internet iwe bure siyo kuongeza kodi

    Dunia nzima hakuna internet ya bure. Nchi tu yenyewe kuna gharama wanalipia kupata hizo services. Now kuhusu kitocho ni kweli ame approach vibaya, ni bora angeshusha bei ya smart phones iwe affordable kwa mwananchi wa kawaida
  7. Detective J

    eGA inauawa rasmi?

    Although ega was supposed kuwa chini ya hii wizara, jpm hakuwaamini akaiweka ofis ya rais kama protection ila sasa sijui itakuwaje mbeleni
  8. Detective J

    Bunge la bajeti 2024 limesusiwa na kudorora balaa!

    Approval rate ya bunge imeshuka mno
  9. Detective J

    Utajiri wa kibegi unavyopukutisha vijana mikoa ya Kusini

    Ukifanya analysis ya haraka haraka faida ni kidogo risk ni kubwa kuliko faida. So mdau atachagua his life or his money
  10. Detective J

    Balozi Kilima: Asilimia 40 ya mabinti wa kazi wanaofanya kazi Oman wanatoka Kondoa

    Statement nzito sana,tena kwa confidence kabisa
  11. Detective J

    Depression inaniua

    Something happened na unakijua, instead of kukaa kimya speak up vitoke moyoni, wapo watu watakusikiliza na kukupa ushauri
  12. Detective J

    Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

    You will be suprised, wanadami hawatabiriki
  13. Detective J

    Mwanamke: Mtafute mumeo, usikae tu

    In other words wa socialize, yes kukaa ndani tu kunakukosesha fursa nyingi
  14. Detective J

    Ni kipi kati ya matukio haya kingekuumiza zaidi?

    All this unaweza ku compile in one message. Hana interest na wewe, now it up to you uchague kuumia au uanze ku move on. Kumbuka maumiv unayasikia wewe si yeye
  15. Detective J

    Nape Nnauye: Tanzania kuwa na Satelaiti yake kama backup ya internet, Mkongo uliokatika kuchukua siku 7 zaidi kutengamaa

    Mpaka tupate shida ndio tuwmkenusingizini. Kwanini tusichukue uliopita western sea board kama backup?
  16. Detective J

    Joseph Musukuma: Wazungu wanatuwekea ushoga kwenye chanjo; haiwezekani binti wa miaka 10 avae sidiria

    Mabadiliko hayakwepeki master, ndio watoto wa kipindi hiki wana kua haraka, imeletwa na mabadiliko ya mfumo wa maisha, vyakula. Vizazi always vinabadilika
  17. Detective J

    Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

    Is not about gharama ila vipaombele wataki huo havikuwa upanuzi wa jiji, by then nchi iko kwenye post uhuru ndio inajitafuta sasa. what happen ni lack of vision, hawakurajia litakuwa jiji kuu kibiashara
  18. Detective J

    Pendekezo: Jina la mkongo wa taifa lifutwe haraka

    Hiyo ni lugha ya kiswahili tu lakini ina jina lake halisi
Back
Top Bottom