Hivi kwanini Waandishi wa Habari huwa wanatetemeka sana Wanapowahoji Mawaziri ila Wanajitutumua Wakiwahoji Viongozi wa Upinzani?

Au Tatizo ni Elimu

Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali

Enzi za Adam Lusekelo au yule Mwamba Katabalo wanahabari waliheshimika sana

Mlale Unono 😀
Pamoja na elimu
Ila ni maagizo.
Unategemea kitenge na zembwela wana upeo/maarifa mapana?
 
Siku
Au Tatizo ni Elimu

Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali

Enzi za Adam Lusekelo au yule Mwamba Katabalo wanahabari waliheshimika sana

Mlale Unono 😀
Siku za hivi karibuni hawakawii kukunyanganya leseni . Na kuongezeka kwa wasiojulikana imekuwa tatizo.
 
Au Tatizo ni Elimu

Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali

Enzi za Adam Lusekelo au yule Mwamba Katabalo wanahabari waliheshimika sana

Mlale Unono 😀
Tuna waandishi wachovu kama wakili wakujitegemea , huyu Mbunge kivuli wa Kawe , huyu aligaragazwa na Gwanjiboy.... sidhani anauwezo wakuhoji vitu vya mantiki
 
Back
Top Bottom