Usimuunganishie ndugu, rafiki au mtu wa karibu nafasi ya kazi ofisini kwako

Napenda sana ndugu zangu, ila tatizo lao Wana tabia za ajabu sana. Pamoja na kuwasaidia sana ila wao wanaomba kuona nimefirisika. Tena wanaenda kuroga kabisa
Kata huduma hiyo pesa bora upelekee watoto yatima au ukalewe na wanao wanaokukubali.
 
Hii ni nature na hakika,

Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako.

Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe.

Hii nimeiona kazini kwa watu kadhaa nami yalitaka yanitokee sema nikapanchi.

Mtafutie kazi ndugu au rafiki katika ofisi nyingine kabisa hapo mtamaliza salama.

Usiseme sijakuambia
Hii ni 100% ukweli
 
Dah!
Nilimuunganishia kazi aliyekuwa rafiki yangu (Mpenzi) ofisi niliyokuwa nafanya kazi ili tupambane pamoja kutafuta mkate wa kila siku. Hata mwaka haukuisha nikageukwa, akapata aliyeona wanaendana nae pale pale ofisini.

🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Back
Top Bottom