Young fadson
JF-Expert Member
- Nov 6, 2017
- 752
- 798
Kama utaamua kumjibu msukuma pasipo kutumia ubongo, bado jibu lako litatumika kutambua mtoa majibu ulivoWakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti huo ameufanya huko mashuleni na kuwaomba wabunge wengine nao waende wakafanye ili kujiridhisha. Sitaki kuwapotezea muda na maneno mengi, hebu msikilize nyinyi wenyewe.
MAONI YANGU
Namuunga mkono daktari Msukuma kwa asilimia zote. Siku hizi ukikutana na binti wa miaka 10 njiani ukimuangalia kifuani hadi unaogopa na kuona aibu. Na sio mabinti tu, hata wanaume nao wana chuchu kubwa mithiri ya wanawake
Kuna uwezekano mkubwa wazungu wanatuwekea homoni za ushoga kwenye chanjo. Hili suala liangaliwe kwa undani kwani sio mara ya kwanza kusikia ushuhuda huu hapa nchini. Tusibeze wala kudharau kwani mdharau mwiba mguu huota tende. Waziri Ummy Mwalimu tunakuomba uzifanyie utafiti hizi chanjo za bure za wazungu zisije zikatuletea shida hapo baadaye.
Pia soma: Shekhe aipinga vikali chanjo ya malaria mbele ya Waziri wa Afya, kisa ushoga; hamuogopi mtu yeyote!