Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 28,373
- 73,765
Don't beg for someone attention, usifosi hayo ni kawaida tu. Siku hizi naenda na haya mawili bila kujali una status gani kwangu uwe ndugu, mpenzi, rafiki n.k
1. Siongezi simu juu ya simu ambayo haina response.
2. Siongezi ujumbe chini ya ujumbe ambao haujajibiwa.
Na wengi wanaofanya hivi ndio baada ya muda wananitafuta wakilalama kuwa nimewakalia kimya. Let things flow automatically, ukihitajika utaitwa.