Tetesi: Jiji la Dar kutanuliwa

Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar.

Ona majiji ya wenzetu kama Nairobi, Lagos etc yalivyo makubwa, ndo mana hatuwezi kuyafikia kimaendeleo
Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
 
Jiji la Dar ni dogo mno, watu wamebanana hapo katikati hata hewa safi hakuna wala mpango mji.
Ilitakiwa Pwani nzima iwe ndani ya Dar
Pwani nzima kuwa ndani ya dar tafsiri yake ni nini? Kwanini isiwe pwani nzima iwe na uchumi unaofanana na Dar? Watu wamebanana dar sababu ya jina dar au sababu ya uchumi wa dar? Fursa na miundombinu zinazopatikana hapo Dar zikielekezwa mikoa ya jirani napo uchumi utakua watu wataamia.
 
sijui ni kwa nini serikali yetu hawakuliona hili mapema wakalitanua.

walikuwa wanaogopa gharama? "Sidhani"

ukiwa na jiji lenye eneo kubwa hata mapato nayo yanakuwa makubwa
Is not about gharama ila vipaombele wataki huo havikuwa upanuzi wa jiji, by then nchi iko kwenye post uhuru ndio inajitafuta sasa. what happen ni lack of vision, hawakurajia litakuwa jiji kuu kibiashara
 
Upanuzi wa mkoa na jiji la Dar es salaam uende sambamba na;
1. Kupima makazi yote ambayo hayajapimwa.
Maeneo mengi ya Dar es salaam ni squatters
2. Tuondoe viwanda mjini tukaviweke nje kabisa ya mji.
Eneo lote la chang'ombe, Vingunguti na Kipawa litumike kwa shughuli nyingine.
Nadhani ingefaa kutenga wilaya nzima ya Mkuranga au Kisarawe kuwa eneo la viwanda.
 
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.

2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifana bandari kujengwa Bagamoyo.
Dodoma ndo baaas tena.
Mi nilidhani watafikiria kuibadili Mtwara ndo liwe lango la kibiashara ili kupunguza watu kuendelea kurundikana Dar.
Mana sasa hv Mlugaluga anaplan kuhamia Dar. Mikoani kwao hakuendelezwi tena.
Wangeimarisha bandari ya Mtwara na uwanja wa ndege.
 
Kama vile nakuelewa alafu sikuelewi. Kwani huwezi kwenda kujenga kisarawe mpaka paitwe Dar, inamaana pakiitwa Dar hapo kisarawe itapunguza au kuongeza Nini? Tuanzie hapo kwanza
swali zuri;
natoa mfano, "hii ni noti bandia, lakini ile pale ni noti bandia halali"

umeona ni ipi hapo inayovutia na itakayoaminika zaidi.

tuseme ni kuboresha brand tu:D
 
Kwann Dar isimezwe na Pwani
hiyo nayo ni sawa pia, hata kiramani Dar imezungukwa na Pwani.
 
waislamu wanaharibu hii nchi, kwanza lilipaswa kupunguzwa, maji hakuna, no sewage system wakazi wanafungulia vyoo mvua zikinyesha, zima moto tangia mkoloni anayeishi tegeta nyumba ikishika moto asubiri fire isafiri 20 km kuja kuzima, public transport ni nightmare huwezi hata kuvaa vizuri ukatumia public transport utafika kama umetokea vitani sasa haya yote kwa mji uliopo waislamu wameshindwa kusolve halafu wanafikiria kuongeza ukubwa wa slums? hii nchi inaongozwa na very low iq people …
Una laana
 
Back
Top Bottom