Search results

  1. dosari

    Mahakama ya Kisutu yawaachia huru Masamaki na wenzake watano

    Habib Mponezya na Burton mponezya hao ni ndugu au? Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
  2. dosari

    Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

    We jamaa una akili sana
  3. dosari

    Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

    Remy kaanza mziki lini au kauanzia jela, alikuwepo hakua malkia hatokua hata sasa hivi
  4. dosari

    Tanzania ni nchi ya ushabiki wa vijambo vidogo

    Hivi karibuni Bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017-2018 imepitishwa na Bunge. Kilichomo kwenye Bajeti ni kuwa Mtanzania maskini atatozwa kodi ya barabara ya umiliki wa gari na pikipiki hata kama hana vyombo hivyo. Sababu ni kwamba Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango, imeamua...
  5. dosari

    Hatimaye JWTZ yaingia Kibiti, Ikwiriri na Mkuranga kudhibiti na kutafuta wauaji wa Polisi na RAIA

    Nataraji kuona malalamiko mengi sana, ya wanajeshi kuua hata wasiohusika, hii ilikua inahitaji akili na sio nguvu, hapa ndio tunagundua TISS hawayawezi majukumu yao
  6. dosari

    Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

    Ndugu yangu waza kiupana, kwa nini huo uchumi usirudi moja kwa moja kwa waislamu dunia nzima kuwastawisha ili hata ambao ni masikini kufaidika na kuweza kwenda hijjah
  7. dosari

    Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

    Kwa hio unaweza enda sali msikiti wanaochinja nguruwe kwa sababu hairuhusiwi kugomea ibada, ninachoamini unabadilisha msikiti au unasalia sehem ambayo ni salama zaidi hijjah haina mbadala hivyo lazima watu waungane ipo siku marekani atatengeneza kambi ya jeshi madina na makkah na itakua too late
  8. dosari

    Saudi Arabia: Mahujaji kutoka Qatar wazuiwa kuingia nchini humo kwaajili ya kuhiji Mecca

    Samahani kwa nitakaowakera ila naongea kwa kujenga, leo tumeona saudia akizuia raia wa qatar kuhudhuria hijjah kwa kigezo cha msuguano kati ya mataifa yao, je siku akitokea mfalme akasema hijjah sio halali nani atamzuia na kisheria atakua na haki zote kwani makkah na madina ni mali ya saudia...
  9. dosari

    Utumbuaji wafanyakazi 10000 kumzamisha Magufuli 2020

    Wenye vyeti feki utawajua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  10. dosari

    Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    Kinyume za haki za binadamu zilizotungwa na nani? Kwa ajili ya kina nani?
  11. dosari

    Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    Kaka, kawaida ukijua sana au ukiwa na vitu vingi vya ziada lazima uchukiwe na wengi hawatokupenda hata wanaofaidika na ww,
  12. dosari

    Nakerwa na watu wachache wanaomsuport North korea

    Sheria ya kufungwa au kuuawa vizazi vitatu imekuepo korea karne kadhaa, kwako ni jambo geni ila kwao sio geni hata kidogo,
  13. dosari

    Madaraka Nyerere: Picha ya Mwl. Nyerere iondolewe kwenye wimbo wa Diamond

    Diamond anapasua anga, leo watu hawataki kujua roma alikua wapi?
  14. dosari

    CHAGUO LA JULIUS MTATIRO TLS

    Mtatiro kampigia kampeni mgombea wake, Zitto aliitwa msaliti
  15. dosari

    Samahan sana diamond na WCB Kwa ujumla

    Kafie mbali
  16. dosari

    Watanzania wawili vijana watajwa Forbes

    "wamekua wakiwekeza nguvu na mali kwenye biashara ambazo ni za kipekee na ambazo zinakua kwa haraka barani Afrika na duniani" Huyu mke wa mengi kapachikwa tu, furniture haina hio sifa... Hii listi ina walakini
  17. dosari

    Breaking News

    Form four on fleek
  18. dosari

    Anayefurahia kinachoendelea Dodoma ajipime kwanza!

    Taa nyekundu imewaka, wakitoka ccm itahamia serikalini na itafuata kwa wananchi.... Nimeanza kuogopa tunapoelekea
Back
Top Bottom