pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,038
- 5,259
Sio kweli mkuu msingi wa dini uko imara sana ila siasa zinaharibu .utashangaa nikikwambia hivi sasa sio msimu wa hija sasa wataendaje kuhiji wakati sio muda wake wa hija.muda wa hija ni baada ya sikukuu ya idi hadi siku 10 za mfungo tatu sasa hivi muda badoTatizo liko kwenye msingi Wa mafundisho msingi(dogma). Ni kama nyumba ukisha-set msingi Wa hovyo unashangaa nini kuona huko juu kwenye kuta na paa pamepinda pinda? Juzi hapa watu walishangilia kule Zanzibar, SMZ kuwa "nyapara" Wa "protokali" za Ramadan.Sasa leo munalaumu nini Serikali ya Saudia kuwapiga ban Qataris kuingia kwao? Hao Wa-qatar ni makafiri tu na Kafir anaruhusiwa vipi kuingia Mecca?