dangadunguri
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 1,277
- 1,305
Anapenda USHOGAKwani kwa mfano nikiishabikia North Korea wewe inakuuma nini au unakereka wapi labda?? Mkuu tuko kwenye nchi huru, unapenda utakacho sio ulazimishwacho na machoko
Anapenda USHOGAKwani kwa mfano nikiishabikia North Korea wewe inakuuma nini au unakereka wapi labda?? Mkuu tuko kwenye nchi huru, unapenda utakacho sio ulazimishwacho na machoko
akili za kibashite,je iyo misaada marekani anatupa bure? " ukitaka kula lazma uliwe,we unataka kula tu " akili yakobovu wewe mtoa mada yani izo net zako unafananisha na dhamani ya wanyama pori na madini yanayokwapuliwa? mbuzi kabisa weweMtu mzima na akili zako unaombea na unadhani north korea anauwezo wa kumpiga us?
Alafu vijana wa jf sasa tunavyopenda ngono sasa mchana tunamshabikia North korea alafu usiku tukiugua gonjwa lile tunakimbilia kwa US atupe ARV za bure
Umelalia neti ya msaada hapo hadi dawa za Tb Huyo huyo Us unataka akupe bure
Misaada huyohuyo US
Alafu mnapayuka tu .
Hebu tuache unafiki basi
Mjapani huwa anatupiga tafu sana hapa tz kwenye maswala ya miundombinu hata misaada wapo mstari wa mbele
South korea nae pia anatupiga tafu sana kwenye maendeleo na kuna wengine hapa ni mashahidi mmesomea kwenye madarasa yalee ya koica walijenga karibia nnchi nzima
Walikuja kwako kuomba? Sisi hatuandai silaha na tunakula vuwavi jeshi. Wapi bora wao au sisi?Hata mimi nashangaa. N. Korea anaandaa silaha kila kukicha huku watu wake wanahangaika. Kila siku vitisho vya silaha kwa Marekani. Anajivunia nini? Na Wtz tunamchekea
haki za binadamu unazijua wewe? mbona tz mnateka hapa kijinga jinga hupigi kelele tupigwa na sisi kwa kuwa tunakandmiza haki za binadamu na demokrasia nchini wewe naww mbuziii tu,hao wa marekani juzi tu kwenye kampeni mlishaoneshwa wazi manabaguliwa na huyo rais bado mnakuwa ma mbuzi tu ivi unazijua haki za binadamu wewe? mbuzi tu na weweMtu anaeishabikia Korea haijui vizuri ...ile nchi kwa kukandamiza haki za binadamu hata magaidi wakasome...kwa wakristo lile ndio taifa hatari zaidi kuwa mkristo na in fact sio mkristo tu hata muislam in short hutakiwi kuabudu kingine chochote tofauti na kale kajamaa na wazazi wake
Soma stories za defectors utachokaaa na sio western propaganda kama wengi tulivyo karirishwa
Yaani mtu akifungwa anafungwa yeye pamoja na vizazi vyake vitatu....kuna mengi sana kuhusu huo uongozi unahitaji Uzi wake kabisa
Acha upimbi ukiendekeza kupokea vijizawadi au misaada utaolewa ka Dada zakoMtu mzima na akili zako unaombea na unadhani north korea anauwezo wa kumpiga us?
Alafu vijana wa jf sasa tunavyopenda ngono sasa mchana tunamshabikia North korea alafu usiku tukiugua gonjwa lile tunakimbilia kwa US atupe ARV za bure
Umelalia neti ya msaada hapo hadi dawa za Tb Huyo huyo Us unataka akupe bure
Misaada huyohuyo US
Alafu mnapayuka tu .
Hebu tuache unafiki basi
Mjapani huwa anatupiga tafu sana hapa tz kwenye maswala ya miundombinu hata misaada wapo mstari wa mbele
South korea nae pia anatupiga tafu sana kwenye maendeleo na kuna wengine hapa ni mashahidi mmesomea kwenye madarasa yalee ya koica walijenga karibia nnchi nzima
Kim anatakiwa aongeze speed yakutengeneza zile submarine, awe nazo kama 15000 hivi, halafu ziwe na makombora kila moja kama 500. Kati ya hizo 15000, 10000 zite ziwe karibu ya usa kabisa maanake nikwamba zikiachia makombora 500 x 10000 = 5,000,000. Asiwe na haja yakutengeneza zile meli zakubeba madege hapana yeye akazanie submarine ambazo zikifyatua hakuna cha defence system wala ushuzi sa trump utakao zuia mabomu ya nyuklia milioni 5,Yah mkuu naona tumeelewana ila walio wengi wataleta hoja za udini na mihemko binafsi ila DPRK sio wakumchekelea tena that regime is very fragile and conundrum
Don't you ever drive on my lane again I'm way above your leaguehaki za binadamu unazijua wewe? mbona tz mnateka hapa kijinga jinga hupigi kelele tupigwa na sisi kwa kuwa tunakandmiza haki za binadamu na demokrasia nchini wewe naww mbuziii tu,hao wa marekani juzi tu kwenye kampeni mlishaoneshwa wazi manabaguliwa na huyo rais bado mnakuwa ma mbuzi tu ivi unazijua haki za binadamu wewe? mbuzi tu na wewe
Sheria ya kufungwa au kuuawa vizazi vitatu imekuepo korea karne kadhaa, kwako ni jambo geni ila kwao sio geni hata kidogo,Mtu anaeishabikia Korea haijui vizuri ...ile nchi kwa kukandamiza haki za binadamu hata magaidi wakasome...kwa wakristo lile ndio taifa hatari zaidi kuwa mkristo na in fact sio mkristo tu hata muislam in short hutakiwi kuabudu kingine chochote tofauti na kale kajamaa na wazazi wake
Soma stories za defectors utachokaaa na sio western propaganda kama wengi tulivyo karirishwa
Yaani mtu akifungwa anafungwa yeye pamoja na vizazi vyake vitatu....kuna mengi sana kuhusu huo uongozi unahitaji Uzi wake kabisa
Ni kinyume na haki za binadamu and that's my pointSheria ya kufungwa au kuuawa vizazi vitatu imekuepo korea karne kadhaa, kwako ni jambo geni ila kwao sio geni hata kidogo,
Kinyume za haki za binadamu zilizotungwa na nani? Kwa ajili ya kina nani?Ni kinyume na haki za binadamu and that's my point