Remy ma aumaliza ufalme wa Nicki minaj

Kabisaaa... Half kapotea kabisa sasa hv ila Nicki bado anatusua tu
Iggy naazela wako kwenye industry hawana hata 10 years, remy ma ni more than 20 years!!! kma mnawshindanisha kwa mkwanja sawa kama ni real hiphop kwa generation ya sasa iv niky kwa remy ma ni mtoto, BET sio wajinga jamani!! uyo dada ana bars hevy weight!!!
 
  • Thanks
Reactions: Qj_

Wewe ni me au ke

Nimependa mchango wako
 
Nicki minaj ndo ajipange kufika level za Remy ma......mwaka mmoja tu toka Remy ma atoke jera kashaanza kumuhenyesha.......tafakari chukua hatua
Remy kaanza mziki lini au kauanzia jela, alikuwepo hakua malkia hatokua hata sasa hivi
 
nicki minaj anaandikiwa ngoma zake na tokea aachane na yule bwana wake safaree aliyekua akimuandikia zile hit songs zote hajaweza kutoboa na hit nyingine iliyotamba billboard tofauti na remy ma yeye anajiandikia ngoma zake na anaishi anachokiimba, nick ni fake kuanzia body hadi rylically!
 
Safaree mwenyewe kakataa wewe hayo maneno umetoa wapi. Nicki kakulia New York, sio mtu wa one hit song, kuna ushahidi tangu enzi hizo yuko underground anachana free style kitaa, we unasema nini? Kwanini kuna kitu inaitwa "Nicktionary"? Angekuwa anategemea ghost writer hiyo kitu isingekuwepo. Troll Nick kwenye body image kwasababu ndio binadamu tulivyo, lakini kwenye michano achana nae kabisa.
 
Remy kaanza mziki lini au kauanzia jela, alikuwepo hakua malkia hatokua hata sasa hivi
Jifariji......kuna mstari kwenye diss ya shether Remy ma anamwambia nick do u forgotten that I pressed you before bitch...so Nicki kapata exposure baada ya Remy ma kuingia jera so karudi na moto ushaanza kuwaka so mjipange kisaikolojia
 
Safaree mwenyewe kakataa wewe hayo maneno umetoa wapi. Nicki kakulia New York, sio mtu wa one hit song, kuna ushahidi tangu enzi hizo yuko underground anachana free style kitaa, we unasema nini? Kwanini kuna kitu inaitwa "Nicktionary"? Angekuwa anategemea ghost writer hiyo kitu isingekuwepo. Troll Nick kwenye body image kwasababu ndio binadamu tulivyo, lakini kwenye michano achana nae kabisa.
Mbona shether ilimgalagaza mpk akaomba back up kwa ghost writter wake kina drake na tunench (lil Wayne)
 
Nicki akifanya tour Europe basi ujue ni sold out kabla ya miezi 6 sasa Remmy Ma ataweza wapi mziki huo
 
Naona kuna kaubishani kuhusu ufalme -
ufalme sio falme.
sasa kama tuseme ndio nick malkia kwahiyo tuitaje kwa kiswahili hio Kingdom ,kumaanisha ni milki ya malkia....
 
Diss song sio official song

Hawa mashabiki maandazi wa remy ma uku wanashindwa taja nyimbo hata 5
Wakati unasema diss song sio official, Remy ma huyoo karamba tuzo sasa cjui wew unajua zaid ya hao waliompigia kura na kumpa ushindi
 
princess ariana kuna King wa rap ambaye ni mwanaume na Queen wa rap ambaye atakuwa ni mwanamke.. Hata kama kutatokea uchaguzi mwanamke hawezi kushindanishwa kwenye kundi la wakali wa kiume kupigiwa kura ili awe mfalme wa rap, bali atashindanishwa na wanawake wenzake ili awe malkia.. Tofauti na hapo yatakuwa yale mambo ya haki sawa.
 
Back
Top Bottom