Mahakama ya Kisutu yawaachia huru Masamaki na wenzake watano

ha ha ha ha ha ha ha ha
ha ha ha ha ha ha ha ha
huu ujinga wa masamaki na wenzie unachekesha
ila ngoja nikaangalie ujinga mwingine twitter na facebook wa ugomvi wa wakenya na watanzania kuhusu ujio wa rooney na everton
Huo ugomvi upo sehemu gani nami nisogee kishilawadu
 
Uyu si ndio mwenye nyumba nyingi?

Sent from my SM-G610F using JamiiForums mobile app
 
Huu mtandao wa mafisadi ni mkubwa , sana kiasi kwamba hata wale ambao bwana mwenyekiti ni maswahiba zake wapo ,Hao wakina masamaki wametolewa kafara tu manguli wenyewe wahusika wapo na hawaguswi wanakula bata tu mtaani kwahiyo, Mkulu anaona bora atafute kiki kwa pikipiki halafu baadae watu wanaachiwa kama hivyo ndugu zetu wa uko vijijini huwa wanasikia habari tu za mafisadi wakiwekwa ndani ila habari hizi za kuachiwa huwa hazienei kabisa. Story zitaishia mitandaoni tu. Na Maisha yataendelea kama kawaida tu.
 
sasa unafikiri utashitaki mtu bila ushahidi?,

kwa kutegemea majungu tu kuwa masamaki ana nyumba mtaa mzima?.

Kesi nyingi hata hizi za kina Ruge zinaelekea hukohuko kwa DPP kuzitupa kando
Ni mapema sana kusema kuwa wamekosa ushahidi... labda kuna marekebisho kwenye hati ya mashtaka itayopelekea wao kukamatwa tena!!!

Ngoja tusubiri
 
kwa nini kesi kama hizi za uhujumu uchumi zinapotezewa muda mwinga ktk mahakana ya kisutu hatimaye baadae mwishowe zinaondolewa na ofisi ya dpp!! je ni ukosefu wa umakini au nini??!!

kwa nini zisipelekwe mojakwamoja Mahakama kuu??! kwani sheria si zimetungwa na sisi binaadamu?? huu ni usumbufu na ucheleweshwaji wa haki usio na maaana kabisaa!!

Sheria za kizamani zibadilishwe twende kulingana na mahitaji ya sasa tuachane na mazoeea!!
 
Hapo kuna harufu ya kukamatwa na kushtakiwa tena. Si kirahisi hivyo.
mimi naona hakuna kushtakiwa tena. inawezekana katika upelelezi walioufanya, wamegundua walifanya yale wanayotuhumiwa kwa vimemo toka state house, na inawezekana wana ushahidi wa kimaandishi kabisa.

sasa mkulu wa sasa alishasema kuwalinda wastaafu, basi wameona aisiwe tabu kuja kumwaibisha mkulu aliyepita.
 
Habib Mponezya na Burton mponezya hao ni ndugu au?

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app
 
Hivi Mkuu una imani na hawa CCM?

Wasomi wa nchi hii mkoje?

Nakwambia hata Ruge na Seth nao mwisho wa siku wataachiwa tu kama sio kushinda kesi.

Watanznia tubadilike.

Hii sio nchi ya kuishi kabisa maana watu vichwa vigumu mpaka wanakera!
salary slip ni wewe umeandika hapa au account yako imehakiwa mkuu, kama sikosei wewe jingalao, simiyuyetu, lizaboni, mudawote ni wale wale wa lumumba sasa nashangaa leo umetoa hii kitu, nimebaki nimeganda aisee, ni wewe au macho yangu
 
nimeshangaa eti kina masamaki waliokamatwa kwa mbwembwe vile Leo Hii Ati DPP Hana nia ya kuendelea na Jesi . Kivipi? Kama vipi jiongeze mkuu DPP
Ulikuwa ugomvi wa mkulu na Masamaki, utaniambia hata Manji atatoka hakuna kesi zaidi ya mbwembwe.
 
Back
Top Bottom