mwaura Tesha
Member
- Oct 18, 2014
- 48
- 22
Hawezi wala hata kujaribu unajua kuna TV ngapi na redio ngapi Zimbabwe linganisha na tz unajua kuna NGO ngapi uliza kwa Mgabe unajua kuna vyama vingapi vya siasa kaulize na Zimbabwe Yangu wapate Uhuru wanaamini Mgabe ndio baba Yake so TanzaniaKuna hatari huyu mtukufu akaji "ROBERT MUGABE" kwa kukaa milele!!