Search results

  1. K

    Kubadili muundo wa Serikali

    Tangu tumepata uhuru ni muda mrefu sana, kuna umuhimu wa kubadili muundo na mfumo wa serikali ili kuongeza tija na kupunguza gharama za uendeshaji. Muhtasari wa mapendekezo ya namna ya kubadili muundo: 1. Bunge Bunge ni chombo cha kutunga sheria na kusimamia serikali. Hivi sasa imezoeleka kazi...
  2. K

    Jinsi ya ku convert DRM protected Music

    Wadau, Nina nyimbo kwenye laptop yangu. Bahati mbaya ili crash muda mrefu kidogo nimefanikiwa ku recover files. Baadhi ya nyimbo zinagoma kuplay (ziko kwenye format ya wav) nimejaribu kuzifanyia online conversion kwenda mp3 inasema ''cannot convert drm protected files''...........sasa wadau...
  3. K

    Accounting package pastel

    Wadau, Ninahitaji software hii. Kama mtu anayo tuongee biashara, nataka ya mtaani sio kuniletea ya ''dukani''
  4. K

    Dr. Slaa na Lowassa, wana historia sawa

    Wakati Dr Slaa anajiunga na CHADEMA alikuwa ametokea CCM. Na kabla ya kujiunga na siasa inasemekana alikuwa anakabiliwa na tuhuma mbaya za kimaadili zinazodaiwa kuwa ndio chanzo cha yeye kuondoka kwenye utumishi wa kanisa. Haijathibitishwa lakini sababu inayotajwa kuwa Dr Slaa alishindwa katika...
  5. K

    Natafuta mwanamke 35-50

    Natafuta rafiki/mpenzi mwenye umri huo, umri wangu ni kati ya 38-45. Sifa kuu awe mwelewa, mpole asiyeongea kwa kupiga makelele na awe na Elimu walau kidato cha nne. Welcome.
  6. K

    Jinsi ya ku fast track divorce papers

    Wandugu, hivi ukitaka kuharakisha utoaji wa talaka kisheria unafanyaje? Kuna namna ambayo unaweza kuanzia mahakamani moja kwa moja bila kupitia baraza la kata?
  7. K

    Terry Rhodes, aliomba ruhusu akaenda kufunga ndoa kisha akarejea ofisini na kuendelea na kazi

    Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na jamaa mmoja mbantu hapa Dar es salaam alikuwa mwanasheria na mwandishi wa habari....sina uhakika sana na majina yake ila mojawapo kati ya Terry au Rhodes lilikuwa jina lake. Namkumbuka huyu jamaa siku aliyofunga ndoa yake iliandikwa kwenye gazeti...nadhani...
  8. K

    Dhana ya kupima UKIMWI na matangazo ya mchepuko

    Kwa uzoefu wangu nimeshuhudia watu wengi wakishapima na kugundulika kuwa wana VVU huku siha zao zikiwa njema wamekuwa wakigeuka kuwa wanyama na kuaambukiza UKIMWI kwa makusudi. Mifano ipo mingi sana katika jamii zetu kwa watu wa aina hii. Nadhani elimu bado haijawaingia watu wengi sana kuweza...
  9. K

    Msichana wa kazi wa nyumbani

    Nahitaji msichana wa kazi za nyumbani. Awe mtanashati na mwaminifu, nitakuwa tayari kumuanzishia mradi wake kama duka/ushoni atakao kuwa anafanya baada ya kumaliza kazi za ndani. Maeneo ya Temeke ndipo makazi yangu yapo.
  10. K

    CHADEMA kuokoa mamilioni ya fedha

    Na Mwandishi Maalum......................Habari hii ni kazi ya Sanaa, na jina la Mohamed Mtoi limechaguliwa tu.....sio kweli ila ina lengo la kutoa ujumbe kwa njia tofauti Chama cha Demokrasia na Maendeleo kinategemea kuokoa mamilioni ya fedha kuelekea uchaguzi wa ndani, endapo mpango mpya wa...
  11. K

    Safari ni ndefu. Angalia Barua hii

    Nimeondoa jina lake na chuo alichosoma...chuo kina jina kubwa sana na kipo hapa Dar DIRECTOR/MANAGER KAHAMA FM P.O BOX SHINYANGA TANZANIA DEAR SIR/ MADAM RE: REF: APPLICATION FOR RADIO PRESENTER Reference is made from the above mentioned tattle Iam pleased...
  12. K

    Majina halisi ya WanaJF waliofariki

    Nadhani ni vema kuwaenzi na kuwakumbuka mashujaa wetu waliofariki kama alivyopendekeza PJ kwenye posti moja hivi. Mimi naanza: 1. Juma Kidogo 2. Baruti Mwesiga aka Kandambili 3. Profesa Jwani Mwaikusa 4. Regia Mtema 5.
  13. K

    Waandishi wa kibongo....

    ROSE HAJI Dhahabu ya kale isiyofubaa katika tasnia ya habari Send to a friend Sunday, 29 July 2012 13:22 Florence Majani WENYE hekima waliwahi kusema kuwa, “Dhahabu haiwezi kung’aa, hadi ipite katika moto.” Maneno haya yanathibitishwa na historia ya Mwanahabari mkongwe nchini, Rose...
  14. K

    Kangi Lugola Alphaxard, Mhe

    Wadau, Mhe. huyo amekuwa mojawapo ya wabunge ambao wamekuwa wazungumzaji sana ndani na nje ya Bunge. Nimejaribu sana kufuatilia michango yake kuelewa msimamo wake hasa lakini nimeshindwa kumuelewa anasimamia nini?. Naona yeye ni kama Zantel- Twanga kokote....nahisi pia alishakuwa kuwa au ni...
  15. K

    Urais 2015: Tundu Lissu atafaa zaidi CHADEMA

    Wadau, Nikiwa mdau wa muda mrefu sana hapa (nilibadili ID, na pia nikiwa mfuatiliaji mzuri wa mwenendo wa siasa za Tanzania nimebaini kuwa kama tunataka kubadili uongozi wa nchi basi tujikite katika kuleta mabadiliko ya kweli. Binafsi nadhani nchi yetu inahitaji kiongozi ambaye ni mkekereketwa...
  16. K

    Askari Traffic na Taa za Barabarani

    Wakati barabara ya Maendela taa hazijawashwa, askari traffic walikuwa hawaongozi magari kwenye mataa. Kila siku pale uhasibu/kilwa rd kulikuwa kunatokea ajali mara kwa mara the same na pale Chang'ombe. Hivi sasa taa zimewashwa askari ndo wako kimbelembele kuongoza magari. Hivi askari wanapata...
  17. K

    Millya Amedisturb Political Equillibrium Tanzania

    Naamini CDM ina viongozi makini kumhandle Millya akianza mapepe yake. Kama wameweza kum contain ZK na SM nini Millya bwana..... Viongozi na wanachama wa CDM waliokuwa wanatumika na EL wana hofu sana katika kipindi hiki cha mpito maana hawajui kama Millya ataamua kutoa siri jinsi walivyokuwa...
  18. K

    Uandishi wa makala kwenye magazeti

    Kuandika makala ni weledi lakini pia ni kipaji. Mwandishi mzuri ni yule 1. anayefanikiwa kumfanya msomaji aischoke kusoma makala zake 2. Makala zake zinakuwa na mantiki na hoja. Sifa zote hizi mbili huenda sambamba moja ikikosekana basi makala haipendwi Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la...
  19. K

    Tanzania kuvuna medali za dhahabu olympic

    Uhakika wa Tanzania kuvuna medali za dhahabu umekuwa mkubwa sana baada ya kujitokeza wanandondi (Boxers) wa ridhaa wenye kiwango cha hali ya juu. TOC kushirikiana na TFF wamekubaliana wachezaji wa Yanga watuwakilishe katika michezo ya Olympic ya London. Hakuna wasi wasi maana vijana wale ni...
  20. K

    Mashabiki wa arsenal wahusishwa mlipuko wa bomu

    Vijana watau walishikiliwa na polisi mjini Damascus baada ya mlipuko wa bomu uliowaua waandishi wawili wa kigeni wiki iliyopita. Ilikuwaje basi? Baada ya ule mlipuko mkubwa sana watu wengi walipiga mayowe na kukimbia kila mtu anavyoweza, wengi walipata mshtuko wa moyo na kuzirai. Lakini ajabu...
Back
Top Bottom