Uandishi wa makala kwenye magazeti

Kintiku

JF-Expert Member
Feb 3, 2011
617
319
Kuandika makala ni weledi lakini pia ni kipaji. Mwandishi mzuri ni yule 1. anayefanikiwa kumfanya msomaji aischoke kusoma makala zake 2. Makala zake zinakuwa na mantiki na hoja. Sifa zote hizi mbili huenda sambamba moja ikikosekana basi makala haipendwi

Siku za karibuni kumekuwa na wimbi la waandishi wa makala ambao kwa kweli makala zao hazina mvuto kabisa ingawa zaweza kuwa na hoja. Waandishi wafuatao ndio ambao makala zao kwa mtazamo wangu zina au zilikuwa na sifa hizo:

1. Johnson Mbwambo- Raia Mwema
2. Kondo Tutindaga- Mwanahalisi
3. Joseph Mihangwa- Raia Mwema etc
4. Ansebert Ngurumo - Tanzania Daima
5. Kitakweta Kitabaganda- RAI
6. Meku Madarubini- Wakati ni Huu
7. Alikuwepo mzee mmoja hivi mhaya alikuwa na mvi alifariki akiandikia RAI pia
 
The_Speed_of_My_Computer_Loading_Wallpaper_zy74c.jpg
 
Hapo kwa mbwambo sijakuelewa! N hazna mvuto au?
Huo mvuto we umeupma kw vgezo gani?
Umefanya utafiti, umegundua n wangap wanasoma makala za hao waandishi?
Unajua kuna aina ngap za makala? Au una chuk binafsi?
Ukinijbu hayo maswali, itakua vema zaidi.
Lakn mpaka sasa nachukulia hayo n "mawazo" yako na hayana uhusiano na wasomaji wote wa magazeti hayo na makala izo.
 
Hapo kwa mbwambo sijakuelewa! N hazna mvuto au?
Huo mvuto we umeupma kw vgezo gani?
Umefanya utafiti, umegundua n wangap wanasoma makala za hao waandishi?
Unajua kuna aina ngap za makala? Au una chuk binafsi?
Ukinijbu hayo maswali, itakua vema zaidi.
Lakn mpaka sasa nachukulia hayo n "mawazo" yako na hayana uhusiano na wasomaji wote wa magazeti hayo na makala izo.

Asante sana labda nikupe kipimo cha kulinganisha: Katika makala za siasa hebu linganisha makala za Lula Ndali Mwananzela za na Rioba? Lula yeye unaelewa anachoandika lakini Rioba nashindwa kumuelewa anachosimamia, sawa na Majid Majengwa...........kama ulivyosema huu unaweza kuwa mtazamo wangu binafsi
 
Wakati mwingine ubora au kinachoitwa udhaifu wa mwandishi husababishwa na mtazamo wa msomaji.Kwa mfano Shaniki wa Yanga ni mara chache sana kuona makala inayoisifia Simba haina makosa...Hivyo hivyo kwa mwanachama wa ccm anayesoma makala inayohusu Chadema
 
Back
Top Bottom