Search results

  1. sammosses

    Afya ya akili ya viongozi wetu ni muhimu kwa mustakabali wa uongozi wetu

    Sakata la waziri wa michezo na serikali yake dhidi ya mashabiki wa mpira mbali na kutikisa mahusiano ya kidiplomasia yameiweka serikali njia panda kwa kuingilia Uhuru wa michezo hususani mpira wa miguu. Moja ya kauli mbiu kubwa ya kimichezo ni michezo huleta furaha,ujenga udugu na...
  2. sammosses

    Ni lini Tume za Uchunguzi zitakuja na suluhu ya matatizo yanayoikabili Tanzania yetu?

    Rais wa awamu tatu Benjamin William Mkapa alipoingia madarakani aliunda tume iliyoongozwa na Jaji Warioba, kuchunguza rushwa na udhibiti wake. Kila mmoja aliunga mkono dhamira ya dhati ya Ben. Kilichotokea baada ya taarifa za matokeo ya tume hiyo, alihojiwa kwanini amekwenda nje ya hadidu za...
  3. sammosses

    Kuna haja ya kufanya chaguzi za kisiasa nchini ikiwa haki za raia zinaporwa

    Taifa linapaswa kujiuliza kama chaguzi zetu ni sahihi kuwepo,Taifa letu ni sovereignty state au ni monarchy state. Hawezekani kila tunapoelekea uchaguzi mbalimbali za kisiasa Taifa linapotezewa uwezo wa kuhifadhi haki za binadamu hususani haki za kuishi na Uhuru wa mawazo. Ikiwa suala la...
  4. sammosses

    Vita vya kuviziana, mwenye uwezo wa kumvika paka kengele bado hajazaliwa

    Maamuzi mengi ya serikali yanapitia kwenye Baraza la Mawaziri chini ya Rais ambaye ndiye Mwenyekiti wa CCM Taifa. Uwajibikaji wa serikali unamlenga waziri mkuu kwa kuwa ndiye msimamizi mkuu wa kazi zote za serikali,na waziri Mkuu huyu atapokea maelekezo toka kwa Rais na si vinginevyo. Drama...
  5. sammosses

    Msimamo wa CCM kwa rasilimali za Taifa ni upi?

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya mamlaka ya nchi, mali yote inayomilikiwa kwa pamoja na wananchi, na pia kuheshimu mali ya mtu...
  6. sammosses

    Eneo serikali ya ccm imeupiga mwingine ni kwenye teuzi na tenguzi

    Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi. Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana. Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
  7. sammosses

    Ni ubinafsi au ni chaka la maokoto lililokosa msimamizi?

    Kodi za Mtanzania hazijawahi kuheshimiwa na hii kwa kuwa kitabu alichokiita mama kinatoa Mwanya huo. Ukiangalia katiba ya JMT ibara ya 137.-(1) Rais atatoa maagizo kwa watu wanaohusika kuandaa na kuwasilisha kwenye Bunge katika kila mwaka wa fedha wa Serikali makadirio ya mapato na matumizi ya...
  8. sammosses

    Ni kweli katiba mpya si muarobaini wa matatizo ya Mtanzania!!

    Kwanini katiba mpya inabezwa kuwa haikuletei ugali mezani,na kwanini Rais anakuwa Mungu mtu. Soma katiba ya JMT ibara hii hapa 99.-(1) Bunge halitashughulikia jambo lolote kati ya mambo yanayohusika na ibara hii isipokuwa kama Rais amependekeza kwamba jambo hilo lishughulikiwe na Bunge na...
  9. sammosses

    Kumbe wasiojulikana bado wako kazini?

    Pamoja na utawala wa mwendazake kutamatika, bado mbinu chafu zinazoongeza hofu dhidi ya wnanchi na mali zao zinaendelea kwa kasi. Takribani wiki moja sasa imepita,siku ya Ijumaa iliyopita watu wasiojulikana wakiwa na gari nyeusi tinted, walimteka kijana mmoja mwendesha Toyo, maeneo ya kwa...
  10. sammosses

    Issue isiwe fedha tu, walioathirika kutokana na saga hili nini nafasi yao?

    Ni mshtuko mkubwa kwa Taifa baada ya Rais mteule SSH kutoa taarifa juu ya fedha za operation plea bargain kutojulikana ziliwekwa kwenye akaunti gani. Urais ni taasisi,aliyeitumia sheria kuamuru itumike hayupo duniani,wasaidizi wake ndani ya taasisi ya urais wapo, maanake tuipe muda tume...
  11. sammosses

    Hongera Rais Samia, lakini siasa siyo uadui

    Hongera mh. Rais Samia kwa mtazamo na maono yako kuzingatia misingi na falsafa za maridhiano. Safari hii ni ndefu sana ambayo bado naviona visiki kwenye msamaha wa mikutano ya hadhara ambayo ilizuiwa kwa upande mmoja ili kudhoofisha upande wa pili. Nakupongeza kwa kuwa umezingatia misingi...
  12. sammosses

    Ukosoaji kwa serikali na majibu ya adhabu ya wakosoaji una tija katika misingi ya utawala bora!

    Tanzania inapitia kipindi kigumu cha mpito katika dhana ya uwajibikaji unao chagizwa na ukosoaji wa serikali na malipo ya wakosoaji toka serikalini. Ibara ya 8 ya katiba ya JMT kwa ujumla wake imetoa uhalali wa madraka ya serikali yatatokana na mamlaka ya wananchi na serikali msingi wake mkuu...
  13. sammosses

    Serikali kuua zao la tumbaku ni mkakati wa wahisani au ni kuteleza kwa mbinu mbadala

    Zao la tumbaku ni moja ya zao la biashara ambalo lilikuwa linaingiza pato kubwa sana serikali,lakini ndilo zao lililokuwa na utitiri wa kodi unao mgusa mkulima moja kwa moja na kumtia umaskini wa kupindukia. Ni miongoni mwa mazao ya siasa yanayo lengwa kimkakati na kuzungumzwa sana kipindi cha...
  14. sammosses

    Lukuvi, mbio za sakafuni huishia ukingoni; jitafakari

    Lukuvi ana tatizo gani na mh. Samia rais wa JMT!! Alipomtoa kwenye uwaziri alisema anataka awe mshauri wake, lakini hakufafanua mshauri wa nini, watu wakapaza sauti kuwa Mama kavunja katiba kwa kumteua, likasemwa sana likapita. Lukuvi kagombea U-NEC nao kaangukia pua, si ajabu kwa giant kama...
  15. sammosses

    Taifa halina vipaumbele, linaendeshwa kama biashara ya daladala

    Ukweli utabaki hivyo,tuna tatizo kubwa kwenye vipaumbele vya taifa,hatujui nini tunataka na wakati gani tunahitaji hicho tunachokitaka. Madhara yake ni nchi kuendesha kama biashara ya daladala, kondakta ana nguvu kuliko dereva kwa kuwa tu ndiye mshika fedha. Kipau mbele cha serikali hakikidhi...
  16. sammosses

    CCM mtaogopa siasa za wazi hadi lini?

    CCM ni chama kikongwe kwa vyama vya ukombozi kusini mwa jangwa la sahara na Afrika kwa ujumla. Kilipaswa kuwa mfano bora kwa vyama vingine vya siasa kutokana na kuishi kwingi na kuona mengi. Ajabu ndicho chama kinacho ogopa siasa kuliko vyama vyote vya siasa nchini,kwa kulitambua hilo...
  17. sammosses

    Tatizo la maji DSM na Pwani ni mkakati wa kudhoofisha nguvu za Rais Samia, au ni tatizo la kiufundi?

    Nchi hii kuna mambo ya ajabu sana,katika moja ya kampeni za mh. Samia rais wa JMT katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo,moja ya kauli mbiu yake katika miradi ya maji ni kumtua mama ndoo kichwanai. Lakini ajabu na kweli kwenye miji iliyo pembezoni mwa vyanzo vya maji ndiyo inayo ongoza kwa...
  18. sammosses

    Kati ya Rais Samia na Hayati Magufuli nani aliona vizuri kuhusu idadi ya wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM?

    Hayati Magu alipunguza wajumbe wa NEC wa CCM, Samia kaongeza idadi, nani aliyeona kwa jicho la makengeza kati ya hawa Wenyeviti wawili?
  19. sammosses

    Kichwa cha mwendawazimu kijifunze kupata kinyozi bora kwa maslahi mapana ya kichwa chenyewe

    Lipo kubwa la kujifunza Tanzania kutokana na uchaguzi wa Kenya,kisiasa,kimaadili na kijamii. Siasa za Kenya zimejengwa na ushindani mkubwa wa kisera na utoaji wa haki sawa kwa vyama vyote vya siasa. Siasa zetu zimejaa ghiliba,chuki,utumwa,utwana na ubwenyenye unao tengeneza mfumo wa watu...
  20. sammosses

    Sakho ni chachu ya kuibua vipaji vya vijana wengi nchini na iwe motivation kwa TFF

    Hongera Sakho,hongera Simba Sc,hongera wachezaji wa Simba,hongera head coach na hongera Simba funs na Tanzania kwa ujumla. Kufikia hapa tunazidi ku pave way to the success,mpira wa Watanzania umeanza kuonekana duniani,ligi ya Tanzania sasa rasmi itajaa scout kwa ajili ya kusaka vipaji. Yapo...
Back
Top Bottom