Search results

  1. chamilo nicolous

    Hoja za Mbunge wa Serengeti zifanyiwe kazi

    Naomba nende kwenye mada moja kwa moja. Leo Tarehe 27 febr Mh.Khasim Majaliwa, (Mb)na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amefanya ziara wilaya ya Serengeti. Katika ziara hiyo, Mh Waziri Mkuu alifanya kikao na watumishi wa Umma, Katika kikao hicho, baadhi ya viongozi wamejikuta...
  2. chamilo nicolous

    Naomba mbinu za kumkamata mchawi

    Wandugu heri ya ijumaa! Kuna dogo ni beki 3, ninahisi ananguvu za ajabu ajabu a.k. a mauza uza! Sasa nikasema moyoni nitaenda kwa wanajamii forums, great thinkers wenye akili Mithali ya Aristotle, Socrete, na Plato, watu walikuwa na maarifa na akili za kiufumbuzi wa matatizo! Ndugu nipeni...
  3. chamilo nicolous

    Mkataba feki vs Mkataba sahihi

    Kila uchao Waziri mkuu analioloma oooh DP hawachapewa Bandani, Tumuamini nani??? Hakuna mwanasheria au kiongozi mwenye hekima amejitokeza kutetea huu mkataba, yuko wapi Makamba mzee wa kulamba asali, Ana Makinda, PIUS Msekwa ??? Kama mmmebugi mnyamaze , Tanzania tunapungukiwa viongozi bora, na...
  4. chamilo nicolous

    Wabunge jifunzeni

    Uchawa haulipi. Nisifa tu kwa wahuni. Waheshimiwa Wanasiasa jifunzeni uwajibikaji kwa hawa waliowadogo: 1: Mbunge Waitara kutoka Tarime vijijini, Serikali'' ilipomjibu majibu mepesi kwa maswali magumu, uongo kwenye uhalisia alikataa mchana kweupe, hicho ndo tumewatuma mkafanye na sio kupigwa...
  5. chamilo nicolous

    HESLB ni wababe

    HESLB:Kitengo cha mawasiliano hakijui wajibu wake. Wahitimu wa vyuo vikuu tangu mwaka 2009 ambao sheria iliwataka warejeshe pesa walizotuia kipindi wanasoma shahada zao ni wateja wenu! LINALO SIKITISHA Sasa hivi LOAN BOARD wameanza makati upya pasipo kumjulisha mdau au mteja!!? Hii inaitwa...
  6. chamilo nicolous

    Kuolewa ni ndoto kuu ya kila mwanamke aliyekamilika ila kama una tabia hizi utazeekea Nyumbani

    1. Tamaa ya utajiri Fedha na mali nyingi pasipo kutambua kuwa vitu hutafutwa, hapa wengi hupoteza nyota zao kwa kukataa wengi wenye kipato cha kawaida na kujirahisisha kwa wenye nazo ambao kwa bahati mbaya wengi wao sio waoaji bali ni wahuni tu na watu wa anasa na kula bata mjini. 2. Dharau...
  7. chamilo nicolous

    Historia siyo duara

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amepewa Tuzo leo kwa ajili ya nini na kazi ipi aliyofanya inayohusiana na bwawa la JNHPP? Mradi wa JNHPP, SGR, Ikulu ya Chamwino n.k yote yalikuwa maono ya Mwalimu Nyerere. Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete amekaa Ikulu ya Dar es Salaam miaka 10, hakupoteza...
  8. chamilo nicolous

    Athari za mikopo ya Serikali kwa umma

    Serikali inapoendelea kukopa, jamii inaathirika vipi? Je, waziri wa fedha yuko sawa sawa kujitokeza adharani, na kukiri kuwa wataendelea kukopa na hakuna atakaeathirika? Mchango wangu kuhusu hii mada ya mikopo ya Serikali katika sekta binafsi. Sekta inayo wahusu Watu binafsi na mashirika...
  9. chamilo nicolous

    Wito wa Waziri wa Fedha Mwigulu, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa!

    Wito wa Waziri wa Fedha, juu ya Wazazi kuwasaidia watoto wao kujiajiri uko sawa! Anaebisha aseme! Yupo Sahihi kabisaa maana ukiangalia hawa wazazi ni mfano wa kuigwa kwake.... 1. Samia amemsaidia mtoto wake kujiajiri kwani binti yake mmoja ni Mbunge na mkwe wake ni Mbunge na ni Waziri...
  10. chamilo nicolous

    Vijana: Mtafute namna ya kujiajiri

    Kuajiriwa ni utumwa ulioboreshwa: Sikia 1: Biashara ya kuajiri watu na kuwalipa mshahara ni Mfumo ulioanza baada ya kukomesha biashara ya utumwa. Kumbuka biashara ya kuchukua mtu mwingine kuzalisha mali ni Mfumo unaolipa; Katibu uone. Biashara ya utumwa ilikuwa biashara yenye faida sana...
  11. chamilo nicolous

    Mizimu

    MATATIZO YA IMANI ZINAZO PENDWA Je wale wanao amini kuwa mwanadamu (roho) anajitambua baada ya kifo wanaweza kukataa kile kitakacho onekana kuletwa kwao na hiyo roho?? Imani kwamba roho za wafu zinarudi kuwahudumia walio hai inafungua mlango kwa ajili ya imani ya kisasa ya mizimu. Ikiwa wafu...
  12. chamilo nicolous

    Hali tete ya Maisha: Tumlilie nani?

    Wandugu hali ya maisha ni tete, tuna aangaika huku na kule hakuna pa kukimbilia - Wazee waliokuwa wanalipwa na TASSAF, sasa inabidi wafanye kazi za kujitolea katika maeneo ya umma kwenye halmashauri husika ili walipwe, no free lunch. -TANESCO tangu mwezi decemba 2021 hadi leo tarehe 4 julai...
  13. chamilo nicolous

    Heri tungekuwa na Akili tuikose Elimu

    1 :Enyi kizazi cha UVIKO mbona mnaufurahia ujinga WA mwenye hekima na kuzishangaa hekima za mjinga? 2:Tangu Leo jueni kwamba kuendelea kumuamini mwenye hekima hata katika maneno ya kupotosha, ni kuhatarisha Maisha yenu wenyewe? 3: Enyi marafiki zangu WA Facebook, ni Nani anayeweza kukaa siku...
  14. chamilo nicolous

    Walimu na Wanafunzi Serengeti Watapeliwa

    Walimu na Wanafunzi Serengeti Sekondari Walizwa kizembe!! Wahenga walisema ‘Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Farao’ Kuna mtu anayesadikika alifika kwenye ofisi ya Mkuu wa shule mapema juma hili tarehe 28/03/2022 na kujitambulisha kwa jina la Ditric, mwenyeji wa Mbeya na amekuwa akifadhiliwa na...
  15. chamilo nicolous

    Iponye nafasi yako; Dunia inapita

    Dunia hii rafiki inapita upesi imefikia mwisho itaangamia! Luka 17:32 DŮNIA IMELAANIWA na dhambi za wanadamu, leo Lecturer UDOM amefumaniwa akitaka ofa kwa college girl, hii si laaana, just imagine umepewa nafasi huudumie watu wewe unahumiza watu, umepewa nafasi uwaponye watu wewe unahumiza...
  16. chamilo nicolous

    Haijilegezi

    KAZA BUTI Scandal; Ni nemo la kiingereza linalomaanisha tukio lilotendwa na mtu lililo kinyume na taratibu.Maranyingi tukio hili ufanywa kwa kificho na watu wachache wanaliibua au wanalifumania. Skendo huwa ni mbaya Sana, Skendo zimemaliza watu, zimeharibu maisha ya watu na pia zimewafanya watu...
  17. chamilo nicolous

    Isikie na hii, uelewe yatakayojili

    Serikali imepokea mkopo wa Tsh. Trilioni 1.3 kutoka IMF ili kupambamana athari za Covid19 iliyoondoshwa kwa maombi mwaka jana wa 2020. inasemekana, fedha hizo zitatumika kujenga madarasa, kuboresha huduma za afya nk. Serikali imekopa matrilioni ya Shilingi kujenga barabara vijijini kutoka...
  18. chamilo nicolous

    CCM ni chama pekee Afrika chenye wanachama wengi

    FACT KUELEKEA UCHAGUZI:- MTAJI WA WAGOMBEA. Na Thadei Ole Mushi. Ccm inakwenda kwenye uchaguzi ikiwa na Jumla ya Kura Milioni 11,111,500 (Milioni Kumi na moja,Laki Moja,kumi na Moja elfu na miatano). Ipo hivi Jumla ya matawi ya CCM nchi nzima na yaliyoshiriki Kura za maoni Ni 2,22,230 kila...
  19. chamilo nicolous

    Uchaguzi CWT: Wakuu wa Shule na Ma-MEK hawafai

    -Wengi wao ni vibaraka wa Wakurugenzi na Maafisa Elimu (DEO);Wametumwa --Wakuu wa shule, Waratibu Elimu Kata (MEK) hawafai kuchaguliwa Siku na Tarehe ya kufanya uchaguzi wa kupata viongozi wa Chama Cha Walimu (CWT) utatangazwa muda wowote, hii ikiwa ni baada ya tarehe ya awali kuhairishwa...
  20. chamilo nicolous

    CWT -- Serengeti: Mlikosea, mmekosea na mnakosea

    Kama si yeye aliyekula pesa ya chama million 28, ni nani alikula? Miaka mitatu tu baada ya uchaguzi kupita, wanaharakati wachache waliokuwa ndani ya chama walihisi ubadhirifu wa fedha na mwenendo mbaya wa viongozi, anasa, starehe, ulevi na mtindo wa maisha ya viongozi kubadilika, walihofu...
Back
Top Bottom