chamilo nicolous
JF-Expert Member
- Mar 10, 2016
- 1,991
- 1,364
Wandugu heri ya ijumaa!
Kuna dogo ni beki 3, ninahisi ananguvu za ajabu ajabu a.k. a mauza uza!
Sasa nikasema moyoni nitaenda kwa wanajamii forums, great thinkers wenye akili Mithali ya Aristotle, Socrete, na Plato, watu walikuwa na maarifa na akili za kiufumbuzi wa matatizo!
Ndugu nipeni maarifa, ikiwa miongoni mwa wanakaya anaujuzi wa giza ni vipi kuubaini, umkutulize puuuu, umuumbue, paaaaaa
Naomba kuwasilisha