HESLB ni wababe

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Mar 10, 2016
1,991
1,364
HESLB:Kitengo cha mawasiliano hakijui wajibu wake. Wahitimu wa vyuo vikuu tangu mwaka 2009 ambao sheria iliwataka warejeshe pesa walizotuia kipindi wanasoma shahada zao ni wateja wenu!
LINALO SIKITISHA

Sasa hivi LOAN BOARD wameanza makati upya pasipo kumjulisha mdau au mteja!!? Hii inaitwa uonevu/ intemadation, unafanya kwa kuwa unaemfanyia hana analoweza kukufanyia! Ubabe, huna pa kwenda
Mtumishi aliishamaliza kulipa mkopo wake toka 2018 ,2019 na wengine wakapewa certificate of completion lakini kuanzia mwezi wa tano 2023 watumishi walio wengi wamekutwa mishahara yao na LOAN BOARD kwa vipengele viwili:

1.PENALNATY YA KUCHELEWA KULIPA MKOPO

2.VALUE RETENTION FEE.

Maswali ya kujiuliza
1.Je ktk kipindi chote hicho cha toka 2018 na 2019 mfumo wa kulipa mishahara na wa LOAN BOARD haukuwa sawa ili wakate hiyo penalty?

2.Je wakati mh.Rais anatangaza kufuta Retention fee hiyo value ya Retention fee haikuwa sehemu yake?

Naomba wajuzi wa mambo haya tusaidie hili kwani watumishi hawa wamekuta makato kwenye mishahara yao bila ufafanuzi na ushirikishwaji wowote.

Ni kweli tulitumia pesa, tulishilikishana tukajaza fomu za kukopa na malipo, kwa nini kwenye makato hatushirikishani????
 
Wasomi wa Tanzania hamjitambui acha muuendelee kunyanyasika.
Na hiyo mikopo mtakatwa mpaka kufa.
 
Hawa watu sijui hiki kiburi wanakitoa wapi, kwa nini wanafanya mambo kienyeji namna hii?
 
Back
Top Bottom