Search results

  1. Kiherehere

    TOYOTA MARK II GX 110 for 10.5 Mil

    call 076839012
  2. Kiherehere

    Toyota raum for sale

    MAKE:TOYOTA MODEL: RAUM YEAR:1999 CC:1496 PRICE TZS 5,500,000/= Text on 0768390212 Mkolawake @WE-UKENYENGE nakuru mathcom ndiuka MONEY stuma Kirode call me KAMkonda who cares Laurence
  3. Kiherehere

    Msaada kwenye sheria za upangaji nyumba

    Wasalaam wanajamii!!! Mimi ni mpangaji katika nyumba ambayo nalipia pango kwa tzs 200,000/= kwa mwezi. Niliingia mkataba wangu trh 24/12/2011 wa miezi sita, wa jumla ya TZS 1.2ml, ambao kwa mahesabu unaishia trh 23/6/12. Lakini katika pesa nilizozilipa kwa mwenye nyumba ni tzs 1.35ml yaani...
  4. Kiherehere

    Naweaje kutrack cm yangu iliopotea??

    Nimepoteza cm yangu ambayo kwa kifupi niliifanya kama portable drive yangu, ni Android MI-300 na nime i"SYNC" na google account am not sure kama inaweza kunisaidia kwa jinsi yeyote. Wadau nimejisalimisha jamvini nipewe muongozo
  5. Kiherehere

    Napangisha nyumba maeneo ya majengo moshi inafaa kwa hostel

    Ina vyumba 14, na mbele ina ki-apartment cha vyumba viwili na choo INAFAA KWA HOSTEL iko maeneo na majengo moshi ( baada ya makubalianao itafanyiwa marekebisho) +255 768-390-212
  6. Kiherehere

    Babu wa Loliondo na ndoto ya Rais ajaye

    Kwa kuwa hatua ya awali ya kuoteshwa juu ya dawa ya kutibu magonjwa sugu imefanikiwa... Sasa kinachofuata ni hatua ya pili.... hii itausisha na ndoto ya babu ya rais ajeye, ambaye atatokea maeneo ya umasaini... nywele yeupe kama theruji... huvaa miwani ( kwa hatua hiyo yeye atakuwa anajifanya...
  7. Kiherehere

    Usiombe uchukiwe na jirani yako ikafikia hivi

    Hizi ndo kadhia za majirani
  8. Kiherehere

    MUHIDINI NDOLANGA yuko wapi??

    Jamaa alitumia fursa nzuri kwa lile suala vyama vya soka haviingiliani na serikali. Fax ya FAT ilikuwa ya nyumbani kwake. Alimuambia Maulidi Kitenge " wewe mama huniambii kitu.... hii FAT mimi naijua" Namkumbuka sana huyu jamaa yuko wapi?? simtofautishi saaaaana na Mtikila maana anaishi kwa...
  9. Kiherehere

    Mungu atupe nini chadema....

    Makamba anaendelea, NA NINAMUOMBEA KWA MUNGU IKIFIKA KIPINDI CHA KUCHAGUANA APITE TENA..... Anatupatia msaada mkubwa sanaaaaaa. Na tuitumie fursa hii Na ninaomba WAANDISHI wamfuate tena wamuulize " mtaji wa CCM kwenye uchaguzi wa 2015" ni nani/nini?? Utasikia VITUKO Viva Makamba Viva...
  10. Kiherehere

    Wanajamii natangaza nia nataka jimbo la musoma mjini 2015

    wanajamii, msoma mjini ni jimbo langu la kuwa mbunge tokea nimezaliwa, na nimezaliwa katika familia ya kisiasa ambayo baba yangu mzazi ALIUWAWA kwa mbinu na ishu za kisiasa NINAYO DHAMIRA YA KWELI KATIKA KULETA MABADILIKO KATIKA JIMBO HILI. Sasa ninaomba ushirikiano wenu nichukue jimbo hili...
  11. Kiherehere

    Prof Mukandala "Hawa wanafunzi sijui walipenya vipi na hili bango"

    Hivi hawa watu wa kujipendekeza kwa viongozi sijui tunawapata wapi? Hivi Prof Mukandala anashindwa kuheshimu elimu yake aliyonayo KULIKO aliyonayo MWANSIASA PINDA? Kwani kupeleka ujumbe kwa njia ya mabango inaathiri nini? Au alitaka tuanze kusifia kuwa vyumba vya kulala VIMEENEA?. Kwa mtazamo...
  12. Kiherehere

    Vita na uganda (idi amini dada)

    Wana Jamii Kwa uelewa wangu, na ufuatiliaji, NACHELEA KUSEMA KUWA vita na Uganda, Tanzania ilikuwa haina UWEZO wa kuishinda Uganda kama tunavyosema. Kama Watanzania tunavyodai kuwa Jeshi letu linaouwezo mimi sina hakika kwa hayo. Kilichofanya Tanzania Ishinde ni mambo yafuatayo na si...
  13. Kiherehere

    Kikwete na semna elekeza viongozi

    Kweli Rais asiye makini tunaye, kikwete alitumia fedha nyingi sana kualika viongozi na wakuu wamikoa huko ngurudoto, na kutueleza kuwa ni semina elekeza viongozi. Sina uhakika kama ilifanya kazi, ila ni moja YA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA ambayo inabidi kumfungulia mashitaka pindi anapomaliza...
  14. Kiherehere

    Tra huu mnaofanya ni wizi

    1.Kwanza nataka kuuliza? ni sababu gani MNACHUKUA malipo ya DOLA kwa ulipaji wa leseni za kampuni za FREIGHT FOWARD (clearing & fowarding)? Kama tunataka kukuza thamani ya shilingi, na TRA ni agent wa serikali ta Tanzania, hizi DOLA mnapeleka wapi na ni za nani? ikiwa walipaji ni watanzania...
  15. Kiherehere

    UDOM wataka wabunge wa CHADEMA WAOMBE RADHI!!

    Kuna waandishi wengine wanapaswa kuwa na akili, yawezekana hata kazi yake ni ya kuchomekwa tu!! Huwezi kusema UDOM ndo wamesema haya kwa kupitia kapuuzi kamoja kalikokuwa na Ridhwani kwenye kuomba udhamini wa baba yake eti ni UDOM. UDOM ina uongozi, so kama kiongozi wa chuo kasema ilikuwa...
  16. Kiherehere

    Arsenal bingwa 2010/11

    Ngazi ya ubingwa Arsenal inaanzia leo kwa Totenham. Van Persie ndani. Kwa kuwa tulianza na msimu kwa kuwa na majeruhi, Fabregas,Walcot,Van persie,Valmeen Nasri ambao ni kikosi cha kwanza, leo van persie ndani tutegemee mauaji. Nasikitikia wapinzani wetu walio na WACHEZAJI WAZEE ambao wakiumia...
  17. Kiherehere

    Sikubaliania na gazeti la mwananchi

    Majimbo ya uchaguzi yaliyofanya uchaguzi wa marudio j2 trh 14/11/2010 ni SABA. Kati ya hayo saba CCM-3,CUF-3 na CHADEMA-1. Gazeti la MWANANCHI leo, nanukuu "UPINZANI WAZOA MAJIMBO MANNE" Mi sikubaliani na hili, hapa ni kwamba "UPINZANIA UMEZOA JIMBO MOJA" kwa kuwa Chama Cha wananchi CUF...
  18. Kiherehere

    Watakwenda na maji

    Wana Jamii, Mbowe, Ndesapesa na wengineo kwenye CHADEMA (CCM ni mpaka Kikwete achilia hawa wengine)nao waombe mungu siku sheria ya KUTENGANISHA BIASHARA NA SIASA kipitishwa hatutawasikia tena. Nipeni wafanyabishara wengine:- 1.Rostam Aziz 2.Edward Ngoyaye Lowasa 3.Mwakyembe (anabiashara ya...
  19. Kiherehere

    Ridhwan JK

    Wana jamii, mimi binafsi simjui saaaana huyu jamaa, zaidi tu ya kujua kama kafisadi kanakochipikia. Suala langu hapa ninaomba kujua elimu ya huyu mtu, ikiwezekana perfomance zake Darasani kwa kuwa alipewa jukumu kubwa na matokeo niliona hakufiti, so apart kwa kigezo cha Tanzania as MONARCH...
  20. Kiherehere

    Elections 2010 Kikweteee!

    Umeshaoyesha huwaamini viongozi wa CCM, na wa SERIKALI ambao umewateua wewe kwa kufanya BMW campaign, sasa UNAENDELEA KUKAA NAO WA NINI?? Badilika ili kesho na kesho kutwa tukikuuliza swali kuwa tukukumbuke kwa lipi usije ukatujibu "mnnikumbeke kwa kuwatoa pale na kuwafikisha hapa" Ninao uhakika...
Back
Top Bottom