Search results

  1. L

    Kwa kauli hii, baraza la mawaziri linapashwa kujiuzuru

    Ndg zangu wana jf, nimefuatilia mjadala wa suala la jairo leo bungeni. Wabunge wengi wa chama tawala, wameishia kusema kwa hofu na kushindwa kuweka wazi tatizo lilipo hasa. Katibu mkuu kiongozi ambaye ni katibu wa baraza la mawaziri alikiri kwa kusema ‘suala la jairo kuchangisha fedha kwa...
  2. L

    Ccm maji shingo

    Kitendo cha CCM, chama ambacho ni kikongwe na ambacho miaka yote kimetawala nchi kutumia HELKOPITA 2 kwa ajili ya kampeni kinadhilirisha kuwa hali si shwari hata kidogo. Wananchi wa Igunga wengi wamechoshwa na hadi hewa za kila wakati hivyo hawana hamu tena ya kuona CCM inaendelea, ambao wako...
  3. L

    Bila maandamano kwa tz, haki tusahau????

    Ndg zangu wana JF, binafsi nakubaliana na wabunge wa CDM wanaosema kuwa maandamano ni lazima ili haki ipatikane. KUSEMA UWELI Kila mahali ambapo maandamano na migomo imefanyika, mabadiliko yametokea na kiasi fulani haki imepatikana. Jana niliangalia watoto wa S/M Minazi mrefu...
  4. L

    Bunge lawaka moto: Lissu, Msigwa na Lema watolewa nje!

    Sasa Bunge limepasuka tayari, Wabunge watatu wametolewa nje ya ukumbi, Tundu Lisu, Msigwa na G. Lema
  5. L

    Kama kamati kuu ccm imejiuzulu, kwa nini spika asijiuzulu? Maana ametokana ubovu huo.

    Ndugu wana JF, nimekuwa nifuatilia mjadala unaoendeshwa na Star Tv na hata baadhi ya Magazeti kuhusu na utendaji wa SPIKA - MWANAMKE. Kamati kuu ya CCM ndiyo iliyompitisha Spika tuliye naye sasa, Kamati kuu hiyo imeonekana hakuweza kufanya kazi vizuri kwa sababu ya kutawaliwa na makundi ndani...
  6. L

    Wizi mpya BOT

    RIPOTI YA MDHIBITI NA MKAGUZI MKUU WA HESABU ZA SERIKALI MWAKA ULIOISHIA TAREHE 30 JUNI, 2010 inasema 5.9 Kukosekana kwa orodha ya waliolipwa kiasi cha Sh.48,000,270,000 kwa ajili ya kuchochea ukuaji wa uchumi Serikali ililipa kiasi cha Sh. 48,000,270,000 katika Benki Kuu ya Tanzania kama...
  7. L

    Hatimaye serikali/ccm yakubali mswada kutafiriwa kwa lugha ya kiswahili

    Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC) iliyokutana tarehe 10 Aprili 2011 mjini Dodoma chini ya Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. Pamoja na maazimio mengine yote, imeona hali ya upepo wa siasa ulivyo na ikaazimia kwamba:- KUHUSU MUSWADA WA SHERIA YA KUREKEBISHA KATIBA (NA SIYO...
  8. L

    CCM yakiri kumiliki mafisadi wanaotesa uchumi wa Tanzania

    Hatimaye Katibu Mkuu mpya wa CCM, amekiri chama chake kuwa maficho ya Mafisadi. “CCM inatakiwa kujengwa upya kabisa na ili hayo yaweze kufanikiwa, kuna kila sababu za kuwa na watu safi, hivyo mimi nawataka ndugu zangu wasimame katika misingi ya zamani tuliyokuwa nayo katika chama chetu,”...
  9. L

    Elections 2010 FAKE: CHADEMA walichukua jimbo la Mbeya vijijini

    Imetangazwa TBC Live
  10. L

    Elections 2010 Wasimamizi wa majimbo waibeba CCM

    Kila mtanzania wenye dhamira ya kweli na nchi yake ataamini kabisa kuwa, ucheleweshaji wa matokeo unaofanywa na Wasimamizi ni hila za wao kuibeba CCM baada ya kuona imeshindwa vibaya. Wazo la miundo mbinu ni uongo mtupu kwani haiwezekani hata Jiji la Dar es salaam iwe ni shida kutoa matokeo kwa...
  11. L

    Elections 2010 NEC/wasimamizi wa majimbo mtiini mungu

    Kwa kweli si jambo la kufurahisha, kazi imefanyika kwa AMANI harafu hawa jamaa wanataka kuanzisha fujo. Nina maswali machache hapa wana JF tujiulize. 1- Nini maana yake kila kituo kubandika matokeo ya kura zilizopigwa? Mimi ninavyojua, hata kabla ya wao kutoa matokeo rasmi, tayari umma unajua...
Back
Top Bottom