CCM yakiri kumiliki mafisadi wanaotesa uchumi wa Tanzania

Lusambara

Member
Oct 31, 2010
38
9
Hatimaye Katibu Mkuu mpya wa CCM, amekiri chama chake kuwa maficho ya Mafisadi.

“CCM inatakiwa kujengwa upya kabisa na ili hayo yaweze kufanikiwa, kuna kila sababu za kuwa na watu safi, hivyo mimi nawataka ndugu zangu wasimame katika misingi ya zamani tuliyokuwa nayo katika chama chetu,” alisema Mukama na kuongeza:
“Nawataka wote wenye tuhuma za rushwa na ufisadi ndani ya chama waanze kujiuzulu mapema ili kulinda heshima yao, kwani tunaingia kujenga chama sio kukibomoa.”


JE ATAWEZA KUFANYA OVERHAUL YA ENGINE YA CHAMA???? JK, MAANA ENGINE INA SHIDA PIA
 
Pale mwembeyanga kwenye list of shame alikuwamo kikwete pia, kwa hiyo mukama amemlenga bosi wake ajiuzuru?............siamini km kikwete atakubali kwani aliiiba hata kura za urais tulimwambia ajiuzuru mwenyewe alikataaa..............lakini mukama yeye usafi kapata wapi ndani ya ccm?.........
 
Kama Mukama ana dhamira ya kweli kusafisha chama, inabidi hata mwenyekiti wake ajiuzulu. Hapa ni patamu sana kwani sasa hawana pa kutokea baada ya siku hizo 90
 
mukama ninguvu ya soda segele hutoliweza usani mutupu ccm walishajuwa watz niwadanganyika kwakutumia usani hu wanajalibu mbinu hii kujiongezea siku zakuendelea kutuibia atakama kweli mukama anazamila ya kweli watamuchafulia sivi zake (chakura kisafi chombo kichafu) munayemwita fisadi anaitwa na bosi ikuru alisha sema ulafiki wao hawakukutana balabalani sijuwi mukama kamaanaubavu kuwatenganisha jk el
 
Back
Top Bottom