Search results

  1. ntantau

    JF Story: Fair Game

    Another episode soon
  2. ntantau

    JF Story: Fair Game

    ZURI. Im Zuri. The CEO of Zuri microfince,mjukuu wa aliyekuwaa mwenye Dar es salaaa yake.aliyejua kutamba nayoo na kuinyoosha sawaa sawaaa,nani asinijuaa,nani asiyenifahamu Zuri mimi, niko na full of connection,sio connection za Gigi money na chuma hahahaha lkn, u know what i mean Kama wewe...
  3. ntantau

    JF Story: Fair Game

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  4. ntantau

    JF Story: Fair Game

    Naombaa nijitambulishe rasmii.. Jaman mimi sio laraaa. Ila ni fan wa laraa Hata mimi nime mmiss sana lara 1
  5. ntantau

    JF Story: Fair Game

    WANTA My name is Wanta,The big girl herself, the strongest one among our group of four matured ladies. Yaan strongs ile Ngangarii, u know what I mean ndugu msomi. Sio kwamba niko Strong sababu nimezaliwa hivyoo. Big no, I have to made a choice, either niwe weak nionewe na kudharaulikaaa kama...
  6. ntantau

    Msaada: Mtoto kupoteza uwezo wa kuongea

    Mpeleke hospitali kwa uchunguzi zaidi.. Pia, kuwa makini na UWEZO WAKE WA KUSIKIA, huenda tatizo hilo ndilo linapelekea yeye kutokuongea. Nilipata tatizo kwa mtoto kama hilo.Alingalia hakuwa na tatizo lolotee. Alikuja kuongea alipokaribia four years
  7. ntantau

    Weekend Story! All is Fair in Love and War!

    Jamani nisaidieni kirefu cha FM
  8. ntantau

    Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

    Nashukuru kwa mchango wako wenye maekezo yanayojitosheleza kabisa.. Huyu Ni muajiriwa serikalini tayari. Nayeye alipenda ajiendeleze kielimu lakini katika fani itakayompa kipaumbele zaidi. Mfano yupo lab lkn anadegree ya planing and management.,pale pale katika kitengo chake atakuwa anafursa...
  9. ntantau

    Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

    Ni kweli hali ngumu sana kwa sasa. Lkn kwakubadilisha faculty huenda itamsaidia kuwa na fursa nyingi. Asante kwa mchango wako
  10. ntantau

    Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

    Habari zenu wakuu. Nina mdogo wangu mwenye diploma ya medical laboratory. Anataka kujiendeleza kimasomo(yaan kuchukua degree ya kwanza) lkn isiwe mambo ya afya. Anachotaka yeye in vitu kama management,procurement,public heath na kadhalika. Najua hapa kuna wadau mbalimbali wenye uelewa mkubwa wa...
  11. ntantau

    Ahsante mume wangu kwa kuachana na mchepuko

    Kinachonifurahishaga na kunipa raha ni pale wanaume wanaposema kuwa eti mpaka nimekuoa ujue nakupenda kuchepuka ni kutamani tu. Kwani wanawake nao hawatamani,Mimi mpaka kukubali kuolewa na wewe ujue ninakupenda michepuko ni tamaa tu
  12. ntantau

    Diamond umetuangusha wanaume hatufanyagi hivyo!

    Umeuaa.. Nimecheka kwa sauti
  13. ntantau

    Naomba kufahamu bei ya toyota gaia

    Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa??
  14. ntantau

    Naomba kufahamu bei ya toyota gaia

    Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan. Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
  15. ntantau

    Millen Magese (Happiness Magese) apata mtoto

    Huyo ndo millen halisi bila 360 camera na application zozotee
  16. ntantau

    Smart911 Kufunga Mwaka na Kasinde. ....

    Nasubiri msimamo wa mahondaw.... Ubuyu uwe mtam zaidi
Back
Top Bottom