ntantau
Member
- May 23, 2015
- 70
- 126
WANTA
My name is Wanta,The big girl herself, the strongest one among our group of four matured ladies. Yaan strongs ile Ngangarii, u know what I mean ndugu msomi.
Sio kwamba niko Strong sababu nimezaliwa hivyoo. Big no,
I have to made a choice, either niwe weak nionewe na kudharaulikaaa kama ilivyokuwa desturi ya familia yangu kudharaulikaa..au niwe Ngaangari make changes into my life, na nimebadilishaa ndugu msomajii.nimevunjaa karma zoote za umaskinii, za being weak,na sitaki utani katika hiloo, want a Big life, big life kuliko la wahaya wa zamani,kina shomile,I short i wanted to live the life ME,MYSELF and I wanted to live.
I was not easly kabisaa, i must admit, the life itself is so hell complicated than I forecasted lakini, nilisha jiapizaa, hakuna kinachoshindikanaa. Why me and not others, ikiwa mtoto wa Bakhresa anazaliwa,hospitali yoote ya Aga khan tena ile ya ocean road, madaktari na wauguzi woote watakuwa wanahahaa kuliko siku za kuzaliwa watoto waoo,( Ofcourse mtoto wa Bakhresa hawezi zaliwa Tanzania) hahahah, lakini kuna mtoto anazaliwa njiani,hata kufika kutuo cha afya inashindikanaa, nilijiapizaa I want to change my life, kama kuzaa na mimi ikiwezekanaa nizae na Price wa mataifaaa,najuaa hamna atakaye nikubali kunioaa lakini kuwa side chick inawezekana kabisaa,ni juhudi zangu tu hahaah, I tried it, sema nitawapa story siku nyingine.na mimi nionjee pepo ya duniaa.
Ofcourse like i said there are levels to this shit. And but I preffered not to take the natural tradition channel but instead I outsmarted the system and facked it dougie style. When I said I was smart you should have paid a little more attention to that fact.
Naomba nimshukuru Mungu baba aliye mbinguni kwa kuniwezeshaa,nina kipato changu,cha nguvuu,sina shida ndogo ngodoo japo kubwa bado ninazoo kama za kuzaa na mtoto wa mfalme wa saudia hahahaaaana mimimkuingia katika koo zinazotambulika duniani,
Niko na biashara zangu Real Estate Dubai,nanunuaa na kupangisha appartment Air bnb,niko na biashara za nguona mazulia Dar kutoka uturuki,hainilipi lkn inakidhi mahitaji madogo madogoo hasa kumuwezesha Msaada mdogo mdogo Dadangu kipenzi Mama B na familia yake.nimeshatembea dunia,nimeshafanya birthday bali,Maldives na santorini,msiulize niliwezajee ndugu fanani,ni maamuzi tu ya kuwa Strong. Kiukweli niseme Alhamdulillah
Licha ya kuzaliwa maskinii, jaman mimi ni mzurii.
Lizurii hasaaa alafu najitambua kuwa mimi ni mzuriii.kwa hili niwashukuru wazazi wangu,baba yangu ni handsome mmoja matata sanaa akaoa mkewe chotara.mama yangu hajawai kumjua baba yakee na aliwahi kuambiwa baba yake alikuwa mwarabu.
Despite everything i have,jamani mimi mpango wa kuolewa sina leo wala kesho,mpaka sasa sijawai kupenda mwanaume.niseme huyu mwanaume amenikaa rohoni,hapana kwa kweli,nishatembea na wanaume kibao,achana na wa bongo sijui wa afrikaa,nishavuruga duniaa ,na kwelii,wabarikiwe sanaa wanaumee,wamebadilisha maisha yangu,sasaivi naweza kukaa meza moja na kina Zuri,watoto walio zaliwa wanaogeleaa kwenye pesaaa,baba waziri,mama mtoto wa mkuu wa mkoa mstaafu,kasoma shule za maana,full of life,nakaa nao na nina watingishaa vile vilee.
Kinachonikeraa,ni kalele za unaolewa linii,kila ukikatishaaa,ni unaolewa linii,,.jaman sio kila mtu ndoto yake ni kuolewaa,mnapelekea kina niffa na rest kuoa vi ben ten uku wakiji mwambafai kuwa wameolewaaa,
Nimeshaangaliaa walioolewaa,hizo ndoa zimewafikisha wapii.hahahaaa nikianza na dadangu kipenzi Mama B,amestaki kimaisha hana mbele wala nyumaa kisa ndoaa,angekuwa mbali sana ila ndoa na familia zimemkalisha hapo hapo.hasogei, bila kuingia pale kati ada za watoto huwa zinamshinda yeye na shemeji yanguu,.
Sasa leo katika Ladies evening tea,nimewekwa kati.nimewekwa katii,naolewa linii, na bwanangu nani maana woote nawafahamu ma bwana zao lkn wangu hawamfahamuu,niko na mpango gani.
Nimebaki natoa machoo tu sielewi ata niwaambie nin