Naomba kufahamu bei ya toyota gaia

ntantau

Member
May 23, 2015
70
126
Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan.

Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
 
Back
Top Bottom