Watu
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,470
Baada ya kuhangaika sana dada Millen magese ama zamani happiness magese na aliyewahi kuwa miss Tanzania, hatimaye mnamo tarehe 13 july 2017, 06:58 am amefanikiwa kupata mtoto wa kiume KAIRO MICHAEL MAGESE
Ikumbukwe dada millen amehangaika sana lakini hakukata tamaa, nadhani watu wenye matatizo kama hayo msikate tamaa.....
Hongera Millen
Sent using Jamii Forums mobile app
Yule jamaa mwenye hati miliki ya Mkoa wa Dar mkewe nae si anatatizo kama hilo? aombe ushauri......