ntantau Member May 23, 2015 70 126 Jul 23, 2017 #1 Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan. Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
Habari za weekend wakuu. Naomba kufahamu bei ya toyota gaia used kutoka japan. Nitashukuru pia kama nitapata ushauri kuhusu uzuri na ubovu wa gari hii kutoka kwenu wataalamu wa magari.
galindas JF-Expert Member Mar 3, 2013 978 1,304 Jul 23, 2017 #2 Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app
floow JF-Expert Member Mar 20, 2017 411 852 Jul 23, 2017 #3 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app
ntantau Member May 23, 2015 70 126 Jul 23, 2017 Thread starter #4 floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa??
floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa??
ntantau Member May 23, 2015 70 126 Jul 23, 2017 Thread starter #5 galindas said: Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thanks.. Namsubiriaa
galindas said: Renyo atakujibu bila shaka. Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Thanks.. Namsubiriaa
floow JF-Expert Member Mar 20, 2017 411 852 Jul 23, 2017 #6 ntantau said: Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa?? Click to expand... Spea zinapatkana ila maduka yake sio mengi sana Sent using Jamii Forums mobile app
ntantau said: Vp kuhusu upatikanaji wa spea zake.. Je!! Huwa ni gari zenye kusumbuaa?? Click to expand... Spea zinapatkana ila maduka yake sio mengi sana Sent using Jamii Forums mobile app
Msuya Jr. JF-Expert Member May 31, 2013 1,691 897 Jul 24, 2017 #7 hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo
ntantau Member May 23, 2015 70 126 Jul 24, 2017 Thread starter #8 renyo said: hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo Click to expand... Ya mkononi mkuu
renyo said: hii gari wataka ya kuagiza, au showroom au ya mkononi.?? tuanzie hapo Click to expand... Ya mkononi mkuu
MAGARI7 JF-Expert Member Mar 5, 2016 2,401 1,299 Jul 25, 2017 #9 floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 4.5, ya kununua hapa hapa Tanzania.?! Au yakuagiza kutoka japan?
floow said: 4m-4.5 Haizid hapo Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... 4.5, ya kununua hapa hapa Tanzania.?! Au yakuagiza kutoka japan?
Chuck j JF-Expert Member Jun 17, 2011 2,358 815 Jul 25, 2017 #10 Ninayo Sent using Jamii Forums mobile app