Ni faculty gani inalipa kwa sasa nchini Tanzania?

ntantau

Member
May 23, 2015
70
126
Habari zenu wakuu.
Nina mdogo wangu mwenye diploma ya medical laboratory.
Anataka kujiendeleza kimasomo(yaan kuchukua degree ya kwanza) lkn isiwe mambo ya afya.
Anachotaka yeye in vitu kama management,procurement,public heath na kadhalika.
Najua hapa kuna wadau mbalimbali wenye uelewa mkubwa wa haya mambo.
Naombeni ushauri wenu hapa.natanguliza shukrani zenu wakuu.
 
Hakuna koz inayolipa apa bongo mwambie asome anachopenda yeye,,,,, kama anasoma anawaza kazi nzur, pesa nzur, mshahara, mwambie ajiandae pyschologically hii nchi ni ya magu, sio ya Jakaya
Ni kweli hali ngumu sana kwa sasa.
Lkn kwakubadilisha faculty huenda itamsaidia kuwa na fursa nyingi.
Asante kwa mchango wako
 
Hii facult watu walikua wana ibeza sana naku idharau.. Lakini trust me kazi nyingi mtandaoni niza mambo ya Rural Development... Akisoma mambo ya project planning/ Evaluation and Monitoring ana nafasi nzur yaku pata ajira... NGOs kibao kila kukicha zina aanzishwa.... Na watu kibao wana matatizo kila kukicha na hizi NGOs zime focus huko....

Au asome mambo ya Renewable energy.. Hapa sasa ndio mteremko. Mambo ya solar energy ndio ulimwengu una elekea huko...

Ntakuja kufungua kampuni yangu huenda nika muajiri pia.
 
inaeza ikawa inalipa ss hvi ila isiwe hvyo miaka miwili au mitatu baadae ukaishia kulaumu aliyekupa ushauri asome anachopenda yeye baadae iwe rahisi kujiajiri
 
Ajipange kujiajiri cku hizi hamna hiyo biashara ya ajira hata wenye migahawa na mahotel wameanza kufunga kwasababu watu wanatoka nyumbani kwenda kazini na vyakula vyao kwasababu ya kupaka grisi vyuma
 
Habari zenu wakuu.
Nina mdogo wangu mwenye diploma ya medical laboratory.
Anataka kujiendeleza kimasomo(yaan kuchukua degree ya kwanza) lkn isiwe mambo ya afya.
Anachotaka yeye in vitu kama management,procurement,public heath na kadhalika.
Najua hapa kuna wadau mbalimbali wenye uelewa mkubwa wa haya mambo.
Naombeni ushauri wenu hapa.natanguliza shukrani zenu wakuu.

USHAURI NINAOMPA

MOSI,SIJAJUA WATU WANASOMA FACULTY AU KOZI SIKU HIZI ,NINAVYOJUA FACULTY INA IDARA NA KOZI KADHAA NA JINA LA FACULTY LINATOFAUTIANA KATI YA CHUO NA CHUO.NILIVYOKUELEWA UNAHITAJI FANI MAHUSUSI ZENYE TIJA KWAKE

PILI, PUBLIC HEALTH NI AFYA KM HATAKI MAMBO YA AFYA AIONDOE ,KOZI ZA MANAGEMENT,UHASIBU,UNUNUZI NA UGAVI CHANGAMOTO YAKE NI IDADI KUBWA YA WASOMI KULIKO SOKO LITAKAVYOHITAJI KWA KUWA TEKNOLOJIA ITAPUNGUZA UHITAJI MFANO MIFUMO YA UKUSANYAJI MAPATO ,MIFUMO YA KUANDAA MAHESABU,KAMERA ZA UANGALIZI,MIFUMO YA KURIPOTI/KUTIA SAINI KAZINI ,MIFUMO YA KUPANDISHA VYEO NK AMABAYO YOTE NI COMPUTERIZED NA AUTOMATIC NA BADO KUNA MITIHANI MBALI MBALI YA BODI KM ZA UHASIBU ,UGAVI NK

TATU,FANI ZITAKOZILIPA NI ZILE AMBAZO UNAWEZA KUJIAJILI AU KUAJIRIWA, ZINAZOHUSU UGUNDUZI AU UVUMBUZI NA IDADI YA WASOMI NI CHACHE KULIKO MAHITAJI YA NDANI NA NJE,ZINAHITAJI KICHWA KITULIE,MIFANO MICHACHE NI ICT,UHANDISI,NK

HITIMISHO: PIA HAKUNA FANI ISIYOLIPA DUNIANI AMBAYO INA FUNDISHWA ILA KINACHOFANYA ILIPE NI WW MWENYEWE UTAKAVYOIPENDA KUITHAMIN NA KUIFANYA KM INAVYOPASA,MFANO HATA LUGHA YA KI LATINI AMBAYO INASEMEKANA NI LUGHA ILIYOKUFA LAKINI INATUMIKA NA HAIJAFA LEO WALA JANA.NA WATU WANATENGENEZA PESA,IPENDE KAZI UIFANYE VEMA UTATAFUTWA TU HATA KM NI UKALIMANI AU KUGHANI MASHAIRI
 
Nashukuru kwa mchango wako wenye maekezo yanayojitosheleza kabisa..
Huyu Ni muajiriwa serikalini tayari. Nayeye alipenda ajiendeleze kielimu lakini katika fani itakayompa kipaumbele zaidi.
Mfano yupo lab lkn anadegree ya planing and management.,pale pale katika kitengo chake atakuwa anafursa nzuri uongozi
 
ASANTE KWA KUTAMBUA MCHANGO WANGU
MOSI,UKISOMA VEMA SHERIA NA UTARATIBU UHAMISHO KUTOKA FANI A KWENDA FANI B INATEGEMEA NAFASI ANAYOTOKA NA NAFASI ANAPOKWENDA NA AINA YA MWAJIRI KM NI NDANI YA IDARA,WIZARA,WAKALA NK NA UKIAMIA KADA INGINE HAKUNA KUIHUISHA YAANI UNAENDA KUANZA DARAJA LA AWALI LA MSHAHARA,PIA MWAJIRI ATAKURUHUSU UKASOME IYO FANI KM HAKURUHUSU UKIJA NA IYO SHAHADA HAITAMBUI KWA MAANA HAKUFANYII RECATEGORIZATION ILA ANAKUPA HONGERA KUITAMBUA TU UMESOMA YAANI INAKUWA KM ADDED ADVANTEGE UNLESS KM UNA MCHONGO

PILI,TARATIBU ZINATAMBUA AJIRA MPYA KWA WALE WALIOFIKIA CHEO CHA MWANDAMIZI ANAWEZA OMBA AJIRA MPYA NDANI YA SERIKALI KUTOKA WIZARA A FANI B KWENDA WIZARA C FANI D ILA MTUMISHI WA KADA NA CHEO CHOCHOTE MWENYE FANI ZAIDI YA MOJA INAWEZA AMISHWA NA MWAJIRI KM ATAKUWA NA SIFA ZA ZIADA ZITAKAZOMFANYA MWAJIRI AMUAMISHE KUTOKA WIZARA NA FANI TOFAUTI.KWA MAHITAJI MAALUMU HIVYO KUFANYIWA RECATEGOLIZATION NA IKIWA ANAPOTOKA KIMUUNDO NA KIMFUMO KUNA MASLAHI JUU KULIKO ANAPOKWENDA ATABAKIA NA MASLAHI YAKE

TATU,HIZO ADDED ADVANTAGE ZA KIOUNGOZI IKIWA KM MKUU WA IDARA NA ANA SHAHADA YA LAB TECH ILA LA SIVYO NI KUAZIMWA TU HALMASHAURI NA OFISI YA DMO LAKINI OPRAS NA MISHAHARA ITASOMA lab technician NA KUAPANDISHWA CHEO HATAPANDISHWA KWA FANI MPYA HATA KM HAFANYI HIZO KAZI, NA AKIJA MWENYE SHAHADA YA LAB TECH STILL HUYO NDUGU YAKO ATAMBID AMWACHIE KITI MWENYE SHAHADA,NA AKATOKEA AFISA UTUMISHI KAPINDA ATASEMA TUNA UHABA WA LEB TECH HIVYO ARUDI KWENYE KAZI YAKE NA IKITOKEA KM TUNA SHIDA YA AFISA MIPANGO TUNAOMBA HALMASHAURI AU WIZARANI.HANA ULINZI INABID ASHIKE SPECIMEN TU NA KUANDAA SAMPULI

HITIMISHO:KM ATAAMUA KUCHEPUKA AWE MVUMILIVU KTK KUTAMBULIKA NA KUBADILI FANI, INAWEZEKANA IKAFANIKIWA KUTAMBULIKA NA KUBADILISHIWA MUUNDO NA STAHILI KWA BAHATI KM ANA MTU NA ANAPENDWA AU ICHUKUE MUDA HATA MIAKA KUMI AU ASTAFIE AKIWA LAB TECH MKUU JAPO NI AFISA MIPANGO KIUTENDAJI.

POLE KM NIMEKUKWAZA
 
Back
Top Bottom