Search results

  1. M

    Lusinde (MB) adhihirisha alivyo Hewa

    Kuna wabunge wa upinzani wamekuja na mtindo wa kujirecord wanapowakilisha hoja kisha ku share na umma(Group), alipoulizwa kuhusu hili na mwandishi wa BBC akadai, kuna mihimili mitatu na katiba hailazimishi bunge kurushwa live kama ilivyo hiyo mihimili mingine isivyo rushwa live katika shughuli...
  2. M

    Nashindwa kutumia USSD kwenye Lumia Nokia 610 nifanyaje?

    Hii simu haiwezi kuelewa command inayo anza na mfano *150*03# au yoyote kama hiyo haikubali any help ?
  3. M

    Bodi ya mikopo helsb

    Wadau nashindwa kuingia kwenye eneo la kujaza maombi, kuna mtu mwenye idea jinsi ya kufanya?
  4. M

    Kuna mwenye recorded Mdahalo please?

    Wadau jana sikua katika nafasi ya kufuatilia mdahalo uliofanyika UDSM! wapi naweza kupata recorded clip? Asanteni
  5. M

    PC ina restart

    Habari wandugu, nina pc yangu Del GX 620 ina tatizo la kuji restart na niki cheki error detai napata hiki Problem signature: Problem Event Name: BlueScreen OS Version: 6.1.7600.2.0.0.256.1 Locale ID...
  6. M

    WishList for the Hague

    Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show - Jakaya Mrisho Kikwete - Said Mwema -RPC's wa mikoa viliko tokea vifo -Chagonja -Tendwa Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi
  7. M

    activation key win 7

    bandugu naomba msaadakwa mwenye key ya window 7 tafadhali shukran
  8. M

    Malipo ya fire kupitia tra

    Wadau naomba kuuliza naamini wapo wanaojua zaidi humu jamvini, sasa hivi uki renew road licence unakuta element ya fire umelipa kwenye road licence je ina maana ukiwa umelipia gari lako insuarance third part fire and theft au comprehensive insurance hazina maana tena????
  9. M

    Adobe Photoshop CS 8.0 Keys?

    Wadau naomba msaada kwa mwenye key ya hii software. Thanks
  10. M

    Refusha maisha

  11. M

    PC Hai connect Web zaidi ya Google!!!!!!!!!!!!!

    adau nime format computer moja kati ya kadhaa zilizo kwenye network, cha ajabu baada ya hapo naweza kuingia web ya gmail na google tu mnaweza saidia hapa???
  12. M

    CZ Print Job Tracker 5.0

    Mambo wandugu, kuna mtu anayo key ya hii sodtware? ni kwa ajili ya ku control printing works
  13. M

    Yahoo problem

    salaam wakuu, mi ninatumia modem ya Airtel nimekua niki experience connection problem hususan ku log in acc ya yahoo, nimekua niki ingia thru messenger lakini leo inagomakabis ina fika tu mahali inasomeka Waiting for us.mg5.mail.yahoo.com then hakunakinachoendelea. kuna mtu mwenye suluhisho...
  14. M

    George Bush is coming again!

    DALLAS (AP) — Former President George W. Bush will travel to Africa next month to raise awareness about cervical and breast cancer, an effort he calls a "natural extension" of a program launched during his presidency that helps fight AIDS on the continent. Bush, former first lady Laura Bush and...
  15. M

    Yahoo log in Problem

    mambo wa ndugu, kuna m2 ana solution ya hii problem ya YAHOO!!!
  16. M

    Able2extract key

    br znu wakuu, hiyo hapo juu ni sofware nzuri sana ya ku convert hata scanned doc to word, Exel, Publisher etc kwa anaeweza ku crack key yake afanye msaada. ni matumaini yang hapa hakishindikani ki2, hii hapa chini ni link yake Download Able2Extract Professional with crack 6- Enjoy all the...
  17. M

    Ashampoo Burning Studio 10 Licence????

    mambo wakuu kuna mtu ana license key ya Ashampoo Burning Studio 10?? help if u can please
  18. M

    Quick Books 2006 Activation Key??

    Mambo wakuu je kuna mtu anaweza kunisaidia activation key ya QB 2006??
  19. M

    Print Management Software

    Habari zenu wadau, nahitaji sana print management software, sasa hivi natumia CZ PRINT MANAGEMENT lakini ni trial version ina expire baada ya siku 30 kuna mtu yeyote mwenye suluhusho????
  20. M

    Award Keylger Product Key??

    Nimerudi tena wanajamvi, nime install Award keyloger pro Trial Version kuna mwenye key ili ni activate ?? natanguliza shukrani
Back
Top Bottom