WishList for the Hague

mang'ang'a

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
828
379
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa

Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi
 
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa

Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi

-mkapa.
-omary mahita.

Tuendeleeni kuwaelimisha watanzania, waelimike ili waling'oe madarakani hili li serikali la ccm MAONGO/MAFISADI/MAJAMBAZI/WAUAJI.
 
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa
-.Mahita
- Mwigulu
-mkapa.
-omary mahita.
ruksa kuendelea
 
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa

Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi

Wengine ni:
- Zoka
- Ahmed Msangi
- Suleiman Kova
- Andengenye
- Nape
- Mwigulu
 
....Maofisa wa juu wote toka usalama wa mafisadi wenyewe hujiita usalama wa Taifa.
 
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa

Ruksa kuongezes yawezekana nimewasahau baadhi

-mzee wa richmond
-mzee wa liwalo na liwe
-bi kidude wa mjengoni
 
Nionavyo mimi wafuatao wanaqualify kwa the Hague Show

- Jakaya Mrisho Kikwete
- Said Mwema
-RPC's wa mikoa viliko tokea vifo
-Chagonja
-Tendwa
-.Mahita
- Mwigulu
-mkapa.
-omary mahita.
ruksa kuendelea

Inaelekea unahasira na Mahita....!!
 
inaelekea unahasira na mahita....!!
kwani hapo nimemtaja yeye tu usinitafute maneno???wewe kilichokufanya umtaje yeye tu ninini au ndio wewe mwenyewe unataka kujua reaction kama ni wewe 2015 tunakuchana msamba ukijiangalia
 
kwani hapo nimemtaja yeye tu usinitafute maneno???wewe kilichokufanya umtaje yeye tu ninini au ndio wewe mwenyewe unataka kujua reaction kama ni wewe 2015 tunakuchana msamba ukijiangalia

Punguza hasira.....hapo umemrudia mara mbili. Ningekuwa natumia pc ningeweka colour au ningebold hiyo post yako.

kama nimekuuzi basi potezea mkuu au sio.
 
Tatizo tunataka sana kufanyiwa.

Kama wananchi wanaungana hao watu hatuhitaji hata kuwapeleka The Hague.
 
Mbona hamjaweka makosa yao tuyapime kama yanafaa kwenda The Hague au Kisutu magistrate court? wengine kwenye list wameshaanza kula zoezi la kupanda kizimbani pale Kisutu.
 
mmmh!kweli?

hajapelekwa bashari alasad mpaka sasa ndo wapoteze muda na hawa mafisadi humu, kaachwa mwai kibaki,n.k of the same issues ndo wapoteze muda na hawa aisee. Ukiona mtu anaingia hegue pale ujue wazungu wana interest zao hapo. The hague ki dunia ni sawa na mahakama ya hapa bongo! Nayo blaa blaa nyingi, inafanya kazi chini ya wababe wa hii dunia tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom