PC Hai connect Web zaidi ya Google!!!!!!!!!!!!!

mang'ang'a

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
828
379
adau nime format computer moja kati ya kadhaa zilizo kwenye network, cha ajabu baada ya hapo naweza kuingia web ya gmail na google tu mnaweza saidia hapa???
 
adau nime format computer moja kati ya kadhaa zilizo kwenye network, cha ajabu baada ya hapo naweza kuingia web ya gmail na google tu mnaweza saidia hapa???
Kama alivyosema mdau inawezekana ISP wako au wewemwenyewe ulivyoset DNS kuna tatizo.

Jaribu kufanya hivi.Pale kwenye adress bar unapoingiza majina ya tovuti ingizaa IP dress
  • www.dell.com ingiza adress hii 143.166.224.244
  • www.yahoo.com ingiza a ip adress 209.191.122.70
  • Jamiiforums.com ingiza ip 174.36.153.183 ( Japo hapa naona pia JF server yao haijawa configured fresh)
 
Back
Top Bottom