Search results

  1. demigod

    SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

    Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo. Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli. Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu. Game...
  2. demigod

    Shabiki Wa Simba Kuishabikia Yanga, Wa Yanga Kuishabikia Simba ni Uzalendo Wa Kipuuzi

    Hii kampeni bila shaka imeasisiwa na wanasiasa wasio fahamu utani wa jadi uliopo kati ya simba na yanga. Ukiwa shabiki wa timu mojawapo ya hizi timu huwezi kuiombea mema timu ya upande wa pili hata siku moja. Nashangaa kuona wapuuzi wakianzisha harakati za kuweka uzalendo kwenye kuzishabikia...
  3. demigod

    Kwanini nimuamini Mtu aliyeishi miaka 600 Baada ya Kufa Kwa Yesu, Niache Kuwaamini Mathayo, Marko, Luka na Yohana walioishi nyakati ya Yesu Kristo?

    Habari wana theolojia. Mathayo, Marko, Luka na Yohana hawa walikuwa ni mashahidi wa macho waliopata kumuona na kumsikia Yesu Kristo, hata baadaye wakapata msukumo kupitia roho mtakatifu kuyaandika yale ambayo kristo alokuwa akiyasema.... Huwa sipatagi kuelewa kwanini kundi fulani la watu...
  4. demigod

    Read Between The Lines: Yanga SC Wanaitwa Kijanja Mezani na Azam FC

    Nimeiona barua ya Azam FC kwa vyombo vya habari. Kiufupi barua imekaa ki-unproffesional kinoma yaani. Kwanza kabisa kama klabu imepokea offer kutoka vilabu viwili tofauti kwanini Klabu ingoje vilabu vingine vije ku-table offer zao? Huu ni kama mchezo fulani hivi wa kitoto ambao Azam FC...
  5. demigod

    Mamelodi Sundowns Wanapaswa Kuthibitisha Ubora wao Dhidi ya Yanga SC

    Pamekuwa na kelele kibao na lukuki kuhusu Ubora na Ukubwa wa Klabu ya Mamelodi Sundowns kutoka Afrika ya Kusini. Hata hivyo dhana hiyo imejengeka mno machoni pa watu kwa sababu ya Ufanisi wao wa kucheza pasi nyingi zisizo na msingi katika dakika 90 za mpira. Sasa wamepata fursa nyadidi ya...
  6. demigod

    Bila Kutumia Uchawi Chama Hawezi Kucheza Vizuri Kwenye Mechi Ngumu.

    Kuna ule msemo kuwa Chama ni mchezaji wa mechi ndogo, leo umeanza kuniingia kichwani. Inafika kipindi unawaza, hivi huenda labda kwenye mechi hizi za Ligi huwa hawatumii Uchawi ndio maana Chama anaonekana wa kawaida. Kwenye mechi kama hizi mchezaji tegemeo wa timu ndipo unapaswa kutokea na...
  7. demigod

    Kama niliwahi kumfananisha Pacome na Chama mnisamehe.

    Ni kosa kubwa sana hienda kuwahi kilifanya katika maisha yangu. Bila shaka inafaa nitandikwe viboko 10 na nikatiwe umeme wa Tanesco kwa muda wa siku 10 bila huruma yeyote. Sijawahi kuona mtu anafunga mechi 4 "Mfululizo" tena sio za ASFC bali za CAFCL. Sijawahi kuona mtu anautawala mchezo tena...
  8. demigod

    Kuna KlabunIliyowahi Kufuzu Next Stage Ikiwa na Game Mkononi?

    Kuna timu inajikongoja kila mashindano. Leo.imefunzwa namna ya kifuzu kibabe, kufuzu kibabe ni kufuzu ukiwa umebakiza mechi moja mkononi. Hii rekodi inashikiriwa na wanajangwani pekee. Vunjeni kama nyie vidume. Halafu tunaenda kutinga nusu kibabe huku mkiishia robo (kama ilivyo kawaida yenu).
  9. demigod

    Naitamani Robo Fainali ya Mamelodi vs Yanga SC

    Kwa mpira huu ambao Yanga inacheza, mpira wa kufunguka na wa kujiachia. Nawatamani sana Mamelodi waje kufunguka pale kwa Mkapa katika Humidity ya 90 Degrees. Binafsi nadhani Mamelodi ni wepesi sana, Kama walisumbuana na Wydad ambayo ilikuwa Unga kiasi kile basi kipimo chao sahihi ni Dar es...
  10. demigod

    Abdelhak Benchika Haendani na Philosopia ya Mpira wa Simba SC.

    Sioni Benchika akitoboa pale Simba SC. Jamaa hana mpira mzuri wa kuvutia, Alipokuja Dar ma USM Alger alizidiwa possession na pia second leg tena wakiwa na home advantage wakazidiwa possession na kuchezewa mpira mkubwa sana dhidi ya UTO. Ana philosophia tofauti sana ya mpira ambayo haito tufaa...
  11. demigod

    Tufanye nini Kufikia Level za Kupata Medali kama Yanga?

    Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano. Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli. Ifike hatua ukweli usemwe. Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi...
  12. demigod

    Kuna Washindani wasio na mdomo. Kuna Washiriki Wenye Midomo

    Kama ilivyo wekwa bayana hapo awali. Hakuna namna unaweza kumfunga Al Ahly kwake, tena kwenye game ya mtoano isitoshe zaidi kwenye michuamo ambayo bingwa anabeba pesa nyingi. Tujipongeze kwa kushiriki, lakini hakuna timu ya kushindana. Wenzenu Yanga wanajua namna ya kucheza games za mtoano...
  13. demigod

    Laana ya Wachezaji wa Yanga SC Yaendelea Kuitafuna Azam FC

    Historia huwa haidanganyi hata siku moja. Unaweza ukawa unajiuliza tatiza la Azam FC ni lipi. Mpaka sasa na usiwe na jawabu la swali hilo. Historia inatuambia kuwa kila nyakati au msimu ambao Azam FC wanamchezaji mmoja au zaidi walio wahi kucheza Yanga SC basi msimu huo huwa hawafiki mbali...
  14. demigod

    Yanga SC Watamaliza Ligi Wakiwa Wamefungwa goli Zisizo zidi 5

    Je unaona kama mimi au unaona kama mimi? Ikitokea Yanga SC akamaliza ligi akiwa ame concede goals above 5 ninaweza ahadi ya kugawa elfu 10 kwa kila mwana JF ya bando. Tumecheza mechi nne mpaka sasa huku tume concede shoot 1 tu on target. Sioni binafsi timu ya kutusumbua msimu huu...
  15. demigod

    Maxi Nzengeli kafanya balaa leo pale Chamanzi

    Huyu mtoto mshenzi sana, ile TURN aliyoipiga kabla hajatoa Assist kwa Pacome Zizou ni ya viwango vya LALIGA, ni MATUSI amefanya pale Chamazi aisee.. Huyu mtoto anajua boli, yaani hadi dakika 90' za mchezo unaziona ni ndogo. Inawezekana tuliofurahia Nabi kuondoka tunapaswa tulie.. Huyu Gamondi...
  16. demigod

    Pacome Zwazwa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kufanyika katika viwanja vya Kibongo

    Jamaa anafanya vitu uwanjani ambavyo havikuwahi kifanyika katika viwanja vya Kibongo. Dah. Anastahili uMVP hata kama ligi haijaisha.
  17. demigod

    Hawa Yanga SC watasumbua sana msimu huu

    Wanacheza mpira tofauti sana na ule wa Prof Nabi. Hawategemei kukaa sana nyuma, wanakabia katikati ya Uwanja kukunyima nafasi ya kupiga progressive pasi huku wakimlazimisha mpinzani kupiga mipira mirefu. Kuna mpira fulani hivi wa kisasa wamekuja nao, hasa kwenye final third, huoni wakiwa na...
  18. demigod

    Simba Wameongeza Squad Depth, Ila Hawajaboresha Squad Quality

    Kutoka katika jicho la kiufundi, nimejaribu kutafakari kwanini mpira wa Simba SC dhidi ya Power Dynamo haukuwa na na ubora wa kiufundi uwanjani? Nimejaribu kuwaza labda wageni Power Dynamo ndio walikosa ubora kwenye kikosi chao? Lakini hapana, hawawezi kuwa na ubora kwasababu wanatokea katika...
  19. demigod

    Kombe la kujaza uwanja kwa kiingilio nafuu nawapa, ila hamna timu

    Baada ya hype ya kukaa Uturuki wiki zote zile. Baada ya kudajili wachezaji wengi wasio kuwa kwenye mapendekezo ya mchezaji i.e Miqquisone, binafsi nilitarajia makubwa sana. Hasa dhidi ya timu dhaifu kama Power Dynamo. Ukiachana na kujaza uwanja kwa kiingilia cha sh 3,000 jambo lililo la...
  20. demigod

    Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

    Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL. Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango...
Back
Top Bottom