demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Ni vyema kufikia hatua za mwisho kabisa za kila shindano.
Kuishia katikati na kujipiga nafsi konde kumekuwa ndio mtindo wetu wa Maisha. Mimi kama Shabiki wa Simba naumia mno kwakweli.
Ifike hatua ukweli usemwe.
Kwanini kila mara robo robo robo robo...Hii inakela kwa kweli. Roho inaniuma hadi nakosa kula. Nakosa hata usingizi muda huu..
Kwanini timu Yangu simba inaniumiza hivi?
Basi kama inashindikana kwenye mashindano haya makubwa basi tujaribu kwenye shirikisho.
At least tukajitahidi.kule tukafikepo fainali ili kutupe confidence ya kuweza kuishinda laana ya robo fainali.
Inauma sana kusema kweli, Binafsi siwezi kuidanganya nafsi yangu na takwimu wala perfomance.
Kuna pahala viongozi wetu inabidi waangalie tunapokwama. Bila hivyo wale Yanga watakuja siku moja kufika fainali kwenye michuano mikubwa kabla yetu sisi, ikiwa ukweli ni kwamba sisi ndio tulio waonyesha njia.
Inakera, Inauma na Inaudhi kwa kweli.
Jamani viongozi wetu kama mpo humu mpitiepo kwenye comments za uzi huu ili mpate mawazi yatakayo tutoa kwenye laana ya robo fainali.
Wadau ambao mmeumizwa na karibuni kwa mawazo, Hopeful viongozi wataona na kufanyia kazi mawazo yetu kwa ujumla.