Search results

  1. TGS D

    Animal Style, In-N-Out

    Animal-style cheeseburger, fries, drink Weekend njema great thinkers!!!!!!!!!!!
  2. TGS D

    Kuhusu kujenga nyumba kwa mkandarasi au fundi wa kawaida...

    Habari great thinkers, Naomba ushauri na maoni yenu kuhusu kujenga nyumba.Kipi ni bora na nafuu iwapo utatumia mkandarasi au fundi wako wa mtaa? Maoni yenu yatatusaidia wote.
  3. TGS D

    Angalia Traffic jam status in dar live

    Tembelea hii site kuangalia status ya foleni katika barabara za dar www.foleni.com
  4. TGS D

    Angalia Traffic jam status in dar live

    Habari great thinkers.Ka walioko DSM,mnaweza kuangalia status ya foleni katika baahi ya barabara through this link www.foleni.com
  5. TGS D

    Wabongo na magari ya kifahari-evoque

    Picha kwa hisani ya mdau. Tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
  6. TGS D

    Nisaidieni software kuplay you tube videos kwenye samsung mobile phone ya Java OS

    Nina simu ya samsung B-5722, nahitaji kuplay you tube video lakini nimetafuta software iliyo compartible ambayo inarun kwenye java i.e "***.jar". Please, anayejua hiyo software naomba anisaidie jamani.
  7. TGS D

    Picha zaidi za kongamano la CHASO-Chadema Students Organisation

    Wadau mtanisamehe kwa kuwa nimeshindwa kurusha picha zote katika post 1. Hizi ni picha zaidi.....endelea kuburudika... Ndg.Mkinga akiondoka eneo la mkutano huku akitaniana na wananci kwamba yeye hakupata gari nzuri kwa ufisadi bali juhudi zake mwenyewe Wawakilishi wa CHASO wakisoma...
  8. TGS D

    Kongamano la CHASO-Chadema Student Organisation lafana

    Kongamamo lililoandaliwa na CHASO lililofanyika jumamosi 22/01/2011 lilifana na hizi ni baadhi ya picha nilizofanikiwa kupiga. Enjoy yourself. Wadau wakiwa viwanja vya shule ya Msingi Makuburi kabla ya Kongamamo kuanza. Ndg.Vincent Kimaro nakifungua kongamano Peoplesssss...
  9. TGS D

    Waziri wa ujenzi Dr.P.Magufuli apiga marufuku matuta kwenye highway

    waziri wa ujenzi dr.pombe magufuli amepiga marufuku uwekaji wa matuta katika barabara kuu.amesema kwamba katika sheria ameapa kuzitumia hajaona mahali palipoandikwa kwamba wakandarasi waweke matuta kila baada ya umbali fulani.Ameyasema hayo alipokuwa akiongea na wahandisi wa viwanja vya ndege na...
  10. TGS D

    Mh.Joseph Mbilinyi a.k.a SUGU Mjengoni Dodoma akiapa!!!!!!!!!!!!!!!!!

    Mh. Joseph Mbilinyi a.k.a Sugu akiapa mjengoni. I admire you Sugu!!! Wakilisha wana wa Mbeya mkuu!
  11. TGS D

    Elections 2010 Matokeo ya Ubunge Mbeya vijijini vurugu tupu!!!

    Taarifa kutoka Mbeya ni kwamba wananchi wameamua kuandamana kushinikiza kutolewa kwa matokeo ya jimbo la Mbeya vijijini. Wananchi wamekabiliana na askari katika eneo la Mbalizi, pia katika jengo la mkuu wa wilaya ya mbeya ambapo ndipo matokeo yanatarajiwa kutangazwa. Wananchi wanadai kwamba...
  12. TGS D

    CONFIRMED: Halima Mdee wins Kawe Constituency

    votes: ccm: 34,412 chadema: 43,365 cuf: 9,131 nccr: 11,970
  13. TGS D

    Elections 2010 Matokeo ya Kawe soon

    ubunge ccm 34412 chadema 43365 cuf 9131 nccr 11970
  14. TGS D

    Elections 2010 hali tete mbozi magharibi!

    mabomu ya machozi,maji ya kuwasha,askari watawala katika mitaa ya mji wa vwawa jimbo la mbozi magharibi.watu hawaonekani mitaani na maduka yamefungwa,askari wanalipua mabomu mtaa kwa mtaa kwa wanachodai kuwatawanyisha wafuasi wa chadema wanaodai kutangazwa matokeo baada ya kuyasubiri muda mrefu...
  15. TGS D

    Elections 2010 Matokeo kwa majimbo ya Unguja

    FUONI Waliojiandikisha 10884 Waliopiga kura 9367 %86.1 Kura halali 9201 %98.2 Zilizoharibika 166 %1.8 DK SHEIN CCM 6351 %69.0 Maalim Seif CUF 2777 %30.2 Kasim Bakr Ali wa jaahazi asilia ni 9 % 0.1 MTONI Waliojiandikisha 9672 Waliopiga kura 8768 %90.7 Kura halali 8635 %98.5 Zilizoharibika 133...
  16. TGS D

    Elections 2010 Chadema yazoa madiwani Ubungo

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo mpaka sasa kimeshapata madiwani 9 kati ya 14. Viti 5 bado havijatangazwa lakini inategemewa kuchukua vingi zaidi kati ya hivyo vitano.
  17. TGS D

    Elections 2010 CHADEMA Arusha mjini mambo tambarare

    Nimepata matokeo ya vituo vitatu kata ya Kaloleni : Kituo 1 urais ccm - 59, chadema - 152, ubunge ccm - 54, chadema - 113, cuf 4, udiwani ccm - 52, chadema - 105, cuf - 12. Kituo 2, urais, ccm - 76, chadema - 119, cuf - 2, ubunge, ccm - 71, chadema -...
  18. TGS D

    Elections 2010 Matokeo ya awali Mkoa wa Mbeya

    Matokeo ya ubunge vituo viwili vya block T - Mbeya Mjini ni Kituo A chadema 140, ccm 33, Kituo B chadema 115, ccm 15. Nita-update mara nipatapo matokeo mengine. Pia, vijana wamejitokeza kulinda kura vituoni kuhakikisha hakuna kinachoingia au kutoka.
  19. TGS D

    Elections 2010 Matokeo ya Uchaguzi Mkoa wa Dar-es-Salaam

    Wapiga kura 147 Urais CCM -72, CHADEMA - 71, CUF - 3, NRA, TLP & APPT - 0. Uubunge CCM - 60, CHADEMA - 72, CUF - 8, NCCR - 0, TLP - 1. Diwani CCM - 64, CHADEM - 64, CUF - 19
Back
Top Bottom