Picha zaidi za kongamano la CHASO-Chadema Students Organisation

TGS D

Senior Member
Aug 3, 2010
114
13
Wadau mtanisamehe kwa kuwa nimeshindwa kurusha picha zote katika post 1.

Hizi ni picha zaidi.....endelea kuburudika...

View attachment 21134

View attachment 21135
Ndg.Mkinga akiondoka eneo la mkutano huku akitaniana na wananci kwamba yeye hakupata gari nzuri kwa ufisadi bali juhudi zake mwenyewe

View attachment 21136View attachment 21137

View attachment 21138
Wawakilishi wa CHASO wakisoma hotuba mbele ya mgeni rasmi Mh.Dr.W.P.Slaa

View attachment 21139
Mlezi wa CHASO Dr. Kitila Mkumbo akifafanua mambo kuhusu uzalendo

View attachment 21140
Wananchi wakipiga makofi na kushangilia kama ishara ya kumkaribisha Dr.Slaa (mwenye kofia) jukwaani kuhutubia
View attachment 21141
View attachment 21142

View attachment 21143
Dr.Slaa akitoa kadi kwa wanachama wapya wa CHADEMA
View attachment 21144

Kamanda wa CHADEMA aimfafanulia jambo mdau juu ya namna ya kupata kadi ya uanachama

View attachment 21145
View attachment 21146
Mdau akikata kadi ya uanachama
View attachment 21147

View attachment 21148
View attachment 21149
View attachment 21150
View attachment 21151
View attachment 21152

View attachment 21153
Akina dada na mikoba yao nao hawakubaki nyuma
View attachment 21154
Machinga nae akisikiliza hotuba kwa umakini
View attachment 21155

Wadau wakitoka eneo la mkutano baada ya kumalizika
View attachment 21156

View attachment 21157

Photo-0269.jpg
Barabara ikiwa imefurika wananchi kutoka eneo la mkutano kuelekea mabibo hostel
Photo-0270.jpg

Photo-0272.jpg

Photo-0274.jpg

Photo-0273.jpg

Photo-0275.jpg
Photo-0277.jpg
Viongozi wa CHADEMA wakiwa wameongozana na wananchi

Photo-0279.jpg

Photo-0280.jpg

Photo-0282.jpg

Photo-0281.jpg
pencil.png
 
huu mtindo wa kuandamana halafu wengine ndani ya magari hautoi picha nzuri! Kwa maoni yangu ingekuwa vizuri kama woote wangetembea au wangesubiria maandamano yanapoishia kuyapokea
 
nathani hufahamu suala zima la physcological implication ya kuandamana wakati wengine wako kwenye magari yenye viyoyozi wafuasi wako kwa miguu wakichomwa jua! Kwa hiyo chukua hilo kama ushauri! hata hygenic si sawa moshi wa magari hayo na mlundikano wa watu haviendi pamoja viongozi ni muhimu kujumuika na waandamanaji na wasitengeneze mazingira ya classes!
 

Hiyo avatar yako ni ushahidi tosha wewe ni mtu wa namna gani. Sasa hilo hilo la wengine kuandamana kwa miguu wengine ndani ya magari linahitaji elimu ya chuo kikuu kujua kwamba si sawa? Hii forum wanaruhusu pia kuwa msomaji tu, sio lazima uwe unachangia kila thread kama huna cha maana cha kuchangia!
 
Back
Top Bottom