Search results

  1. M

    Natafuta marafiki

    natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo, mimi ni kijana wa kiume, mtz....check me +5511987686993
  2. M

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    kwanini kuna kifo na nini lengo lake? Na je hakuna altenative nyingine?
  3. M

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    je binadamu anasomeka au kueleweka katika uhalisia na ujumla wake?
  4. M

    Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    wanyama wanatufikiria kama sisi ni rational?
  5. M

    Unaweza kuamini Kweli! 50 cent kafulia aisee

    ile ajali ya ndege heri wangekuwa wabunge wa katiba! Hhahahah imenivunjaa mbavu
  6. M

    Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

    hahahha ingekuwa imeshapatikana via unga teknologia
  7. M

    CREATION was only for israelites not for all human races, EVOLUTION still holds its truth !

    creation is evolution and evolution is creation! Substance is d same..reread darwin again
  8. M

    OBAMA warns RUSSIA.....

    obama atishe tu kenge wa africa lkn wanapokuja mamba kama china na russia ajifunze kufyata mkia....
  9. M

    Ridhiwani kugombea ubunge Chalinze

    kama ana sifa why not!
  10. M

    Tatizo la Watoto wa Mitaani : Nini Kifanyike

    kabla ya serikali ni mimi na www;;;;hatuna sudi la kuondoa tatizo, tunafurahia kuwaona hivyo walivyo!
  11. M

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    nina wasiwasi na desmondi tutu about his sexual identity hadi anaunda chama cha mashoga sijui anataka kutwambia nn! Afrika as AU should say somthing, coz she is boss of the world, i mean a cinderella. Wamagharibi potelea mbali sisi tupo na wasovieti na wachina. Hqhqh
  12. M

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    alafu hiyo sio misaada, hela na mali wanazobeba africa ni mara kumi ya hiyo misaada! So lets ignore them, hata ikija hiyo misaada wanaita inamsaidia nani kama sio vinara wao tu!
  13. M

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    alafu kwann pedofilia na homosexuality cases nyingi zipo ulaya kuliko africa. Waache kuuniversalize vitu bana, kama wanamachungu ya damu wawachukue hao watu..
  14. M

    Ushoga: Benki ya Dunia yasitisha mkopo kwa Uganda

    napata maswali zaidi....hwa wa magharibi kesho watataka tuoane na mbwa..ina maana sisi hatuna namna ya kuona kip kizuri au kibaya lazima tuwafuate wao? Haya ndio madhara ya kuacha ujamaa na kujitegemea. Alafu mbona wanamachungu zaid kuliko wahusika wenyewe?
Back
Top Bottom