Picha: Yaliyojiri Kigoma katika mazishi ya Shida Salum (Mama yake Zitto)

Hongereni CDM kwa kuwa makini kuepusha siasa na embarassment kwa marehemu..Ni bahati mbaya sana.....mama hakuweka clear sana njia zake.Kwani aliyebaki km star wa familia ndiye anayetumia kila rasilimali zake kuichafua sifa na haiba ya CDM kwa watanzania.Ni challenge sana ku engage naye bila ile michezo yake kuingizwa.Hongereni sana viongozi wa CDM kwa busara.

Uamunzi mzuri sana sana huu, CDM wana akili sana. Hakuna sababu ya kuzua matatizo katika maziko. Ukweli watu wakubali kuwa hakuna amani kati ya hawa watu mama na mtoto. Period!!! wamesahau maneno aliyotamka mama na wale wavamizi wake wa kupangwa?? Aisee dogo ni mharibifu sana. Kweli msiba si jambo la kukwepa ila dogo madharau na majivuno yatamgharimu sana katika maisha yake kisiasa na binafsi. Amwombe Mungu akitambue.
 
Siyo mjengo jamani jamaa Ana nyumba za kisasa mwandiga kwake mazishi wanafanyia mwanga Kwao marehemu mama ake so sidhani Kama ni jambo la kujadili sababu jamaa yupo vizuri bora tujadili msiba na kumpa pole
mwandiga nyumba imeezekwa upande yeye anafadhili act
 
Uamunzi mzuri sana sana huu, CDM wana akili sana. Hakuna sababu ya kuzua matatizo katika maziko. Ukweli watu wakubali kuwa hakuna amani kati ya hawa watu mama na mtoto. Period!!! wamesahau maneno aliyotamka mama na wale wavamizi wake wa kupangwa?? Aisee dogo ni mharibifu sana. Kweli msiba si jambo la kukwepa ila dogo madharau na majivuno yatamgharimu sana katika maisha yake kisiasa na binafsi. Amwombe Mungu akitambue.
Zitto bado mengi yatamuwasha sana ili aanze kukapitalize ktk huu msiba....wala haitachukua muda....Zitto anajiona kuwa na margin kubwa sana sana kufanya lolote akidhani kuwa atakwepesha habari kwa kuhamia kuwa victim.Hata Mamaye hakuona mbali,kijana na tabia yake ya kuplay victim alimblack mail sana mamaye .Mama hakuweza tenganisha kuwa mzazi na issue serious ktk siasa na destiny ya watanzania..chini ya CCM.Mama alikufa akiwa ktk njia panda na mixed feelings kwa wana CDM wengine.
 
mwandiga nyumba imeezekwa upande yeye anafadhili act
Nimejaribu angalia sana....nikafikiria kuhuru magari ya kifahari ya huyu jamaa, uzalendo anaojivunia.....majigambo kuwa yeye ndiye dira.Napata shida sana kumhurumia....Km amejenga mjini walipojenga wnegine hadi akapaona kuzuri.Km hajajenga nyumbani...decent house sijui anategemea nani akamjengee au kumlilia kuwa kigoma kumeachwa? Njia ya mwongo ni fupi sana,kuna milions of ways kupima upana wa fikra,na uwezo wa watu fulani na maeneo yao kuhusu uwezo wao wa kuingia ktk kizazi kingine kwa ushindani.
 
Well said Brother!!! Kwa Chacha Wangwe walitimuliwa kwa mambo ya kijinga.Ni heri kuepusha shari na kufanya maziko yafanyike kwa amani
keshaanza play victim..hakutaka aambie uovu wake,kwa vile mamake anaumwa....akawaita waovu na HAKUNA UNYAMA km huo..anadhani anaweza kimbia uovu wa kuiba hela ya NSSF kupitia kwa mdini mwenzie...DAU.Zitto ana mengi sana anachukua NSSF kwa dili za kishenzi.Huyu ndie kijana aliyeingia ktk siasa moja kwa moja bila hata kufanya lolote la kujenga taifa kwanza. Nasubiri kusikia Jinsi atakvyo capitalize ktk huu msiba na wanafiki watakaotoa Pole Ya kutaka liza kuliko liwaza, watakavyo jiliza kuliko wafiwa.Zitto hatokemea wala kuweka sawa lolote ,ila ataendelea kuweka maknganyiko.Na bahati mbaya media zetu hazina waandishi wanaoweza mtapisha,ukweli.Tanzania ni nchi pekee isiyo na waandishi wenye uwezo wa kuwatapaisha ukweli wanasiasa..ikiwepo JK na kauli ya kijana wake kibaya KUWA KASKAZINI WASAHAU KUTOA KIONGOZI, zikiwepo za akina Pinda...in public.
 
naomba kuuliza, hivi mama alikuwa member wa UKAWA au? maana nasikia alikuwa mjumbe wa bunge maalum na mjumbe wa kamati kuu CHADEMA
Sijui km alikuwa ktk roho na mwili....anaweza kuwepo kwa vile ndio upepo unapovuma na hivyo heshima yake itapata mashiko.Ila km wana interchange na ZITTO yaani kila mmoja ni ROLE MODEL wa Mwingine..then unaweza hukumu.
 
Back
Top Bottom