McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,388
- 7,553
Ni muvi yake ile aliyotaka kuiita Things Fall Apart , Chinua Achebe (R.I.P.) akamkatalia kutumia jina hilo ili kulinda heshima ya kitabu.
Mbona muvi ilitoka kwa title hiyo hiyo ya Things Fall Apart though haikuuza sana ukilinganisha na nguvu ambayo Curtis aliiweka kwenye muvi kama kujikondesha na pesa.