Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

Unataka ujibiwe na nani?
Na yeyote, ukiweza jbu ctaki swaga!

Nani alikuambia hii?
Nimejiambia mwenyew!!

Mwanzo ni nini?
Ndo utafte jibu

Unajua maana ya ndoto?
Ndiyo!

Yaani unataja kifo halafu unatamka "maisha" ya kaburini
Ndiyo aisee!!
Nani alikuambia kaburini kuna maisha?
Unajua maana ya kifo?
Unajua maana ya maisha?
Unakurupuka kuhoji hujaelewa maswali au unataka mlengo wako ndo ufurahie?!!

Unauliza kuhusu Mungu yupi?
Be specific kijana hakuna majibu ya jumla jumla hapa!

Nauliza kuhusu hyo2 Mungu mbabe WA wababe wew unataka niulize yupi ili ujibu?!!
 
Kwa nini Mungu anakubali watu wateseke na kuhangaika duniani? While he can simply make a new heaven without any complication...
And ye ametokea wapi?

kama umeshindwa kujua idadi ya nywele zako,huko utapataje majibu
 
Mkuu huo mfano wako wa kufuata kanuni ili kutaka kujua kuendesha gari nafikiri ni tofauti kidogo.

Gari linaonekana, linajulikana limetoka wapi n.k,

Hebu fikiria mtu anakuja anakwambia nataka nikufundishe kuendesha gari, lakini hilo gari hulioni , hujui lometoka wapi n.k lazima utahoji kwanza uwepo wa hilo gari kabla ya kutaka kujifunza zaidi kuhusu hilo gari.

Ndio maana hata darasani tukiwa tunasoma mada mpya, baada ya utangulizi huwa tunapewa historia japo fupi kuhusu mada husika kabla ya kuingia ndani zaidi katika hiyo mada.

unamlinganisha aliyekuumba na gari ulilotengeneza kwa mifano .. hivi unajutambua we ni nini?
 
Hahahahahahaha, kama alivyomtengeneza shetani akashindwa kumcontrol
Mhhhh! Umesoma andiko la wapi hili?
Mungu hakuumba sheteni,hajashindwa kumcontrol kiumbe yeyote.
Shetani maana yake ni uongo/ubaya. Hao ni malaika ambao walishindwa kuyazidi majaribu na kumchukiza Mungu na ndipo akawapatia mahali pa kukaa wakisubiri adhabu yao. Hawakuumbwa katika hali hiyo.
Na wao kwa kuona wamesha adhibiwa basi wanazidisha maharibifu na kudanganya watu wengi ili kupata wafuasi.
 
Sasa mkuu, yeye Mungu ndo muweza wa yote, aliemkamilifu. Ilikuwaje awaumbe hao malaika halafu mwisho wa siku wamsaliti?
 
unamlinganisha aliyekuumba na gari ulilotengeneza kwa mifano .. hivi unajutambua we ni nini?

Huo mfano alitoa mdau pale juu kama umefuatilia post kuanzia mwanzo.

Kuhusu Mungu kuniumba siwezi kukubali au kukataa.

Wewe unaesema mungu ameniumba na mimi naweza kusema niliumbwa na jiwe, wote hatuna uthibitisho.

Hebu nithibitishie kwamba mimi niliumbwa na mungu na sio kitu/mtu mwingine.
 
mpaka umfahamu kwanza,lasivyo ntapoteza mda
 
mpaka umfahamu kwanza,lasivyo ntapoteza mda

Wewe unfahamu vipi huyo Mungu?

Mim mungu ninfahamu kwa kusikia habari zake na kusoma kwenye maandiko, lakini pamoja na yote sikuwahi hata siku moja kuthibitisha au kuthibitishiwa kama yupo
 
Ulijifunza na ukajua Mungu ni kitu gani?

Katika kujifunza nilipata maana nyingi na sifa kibao za Mungu, lakini kikubwa niliambiwa mungu ni roho.

Swali langu likabaki pale pale kama yeye ni roho, hiyo roho ilitoka wapi?

Ulijifunza kuhusiana na Mungu yupi?

Nilijifunza kuhusiana na Mungu wa biblia.

Sasa mkuu naomba unijibu wewe unajua Mungu alitoka wapi?
 
Wewe unfahamu vipi huyo Mungu?

Mim mungu ninfahamu kwa kusikia habari zake na kusoma kwenye maandiko, lakini pamoja na yote sikuwahi hata siku moja kuthibitisha au kuthibitishiwa kama yupo

mwenye hekima huitazama dunia na kusema vyote hivi vinachanzo au msababishi basi kilichosababisha vyote natoa jina Mungu basi ,je kuna ulazima kujua yukoje wakati hata dunia na uumbaji wako tu unamashaka kufahamu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom