Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,719
- 114,064
laiti ungelijua!.Najua na wewe ni TeamLowasa ili akiukwaa uprezidaa akukumbuke katika ufalme wake wa magogoni hasa katika kitengo cha uSalva Rweyemamu.
P.
laiti ungelijua!.Najua na wewe ni TeamLowasa ili akiukwaa uprezidaa akukumbuke katika ufalme wake wa magogoni hasa katika kitengo cha uSalva Rweyemamu.
Ridhiniwan anafaa sana ajekuchukua jumbo tuu
anafaa huyu
Hoja na mantiki ya uzi huu ni ipi??
Maana huyu mtoa hoja anaonesha kama ni issue kubwa sana.
Heri yako ww muungwana kwenye kundi la wapumbavu wenzako!
Sioni tatizo kuonesha nia ya kugombea huo ubunge! Ni haki yake, kwan cfa anazo! Ila akiptishwa na chama chake wananchi ndio watakaoamua!