OBAMA warns RUSSIA.....

If ukraine is turned pro west, Russia will remain just a Central Asian empire but with ukraine at its western it will have more influence. Western countries simply want to curb Russia.
From a man who said the fall of Soviet empire was the greatest tragedy of 20th century, you can accept this retaliation to protect national interest
 
Acha Putin alinde interest za warusi, kwani ameshapiga mtu risasi?? America wamezidiwa kete baada ya urusi kuhakikisha majeshi yake yanalinda badala ya Nato!!! Ha ha ha!!! Mabeberu wawili at work!!! reference is made to history those years U.S.S.R vs U.S.A (Cold War). It will never end, generations to generations!!! Russia bado wana uchungu na marekani sana.
 
Sipendi ubabe,

lakini wati mwengine ni vizuri mbabe mmoja akajulishwa kuwa ana size yake.kilichotokea hapa Marekani amekumbushwa mipaka ya ubabe wake. hauwezi kwenda kwenye uwa wa mbabe mwenzio halafu akutizame tu.

Unyanyasaji wa aina hiyo tunafanyiwa sisi kina hohehahe. RUSSIA is another level. Siberian plains only can keep that country alive for thousands of years let alone their Arctic holdings, Hawaiogopi Marekani kwa sababu yoyote ile. hizi hadithi za vikwazo etc wanatishiwa njaa kali kama Uganda, TZ, Syria etc.

Duo ya RUSSIA and CHINA is more than enough to keep OBAMA quite and make him think hard and long.
 
According to BBC Russia has test fired an Intercontinental Ballistic missile(ICBM)

Hii ni ishara kwa nchi za magharibi kuwa Putin yuko radhi kuingia vitani kwa ajili ya hii kitu.



[h=1]Russia reports ICBM missile test amid Crimea tension[/h]
_51606573_fa1d16c0-9c6c-4f82-b0b8-ab66ddd94f78.jpg

The Russian military says it has test-fired an intercontinental ballistic missile as tension continues over Ukraine's Crimea region.
A Topol RS-12M missile was launched from Russia's Kapustin Yar test range near the Caspian Sea to the Sary Shagan range in Kazakhstan, it said.
The nuclear-capable missile reached its target successfully, it said.
News of the test came after the US accused Russian forces of an "act of aggression" in Crimea.

BBC News - Russia reports ballistic missile test amid Crimea tension
 
Back
Top Bottom