Search results

  1. Z

    Kigwangalajnr aikataa kamati ya utekelezaji Tabora!

    Katika kile kinachoonekana kuwa familia ya Mbunge wa viti maalumu wilaya ya Nzega Mh Kigwangala ina matatizo ya asili, jana mdogo wake Lumola Maziku anaewania Uenyekiti wa Uvccm mkoa wa Tabora alitoa mpya pale alipokataa kuhojiwa(Kusailiwa) na kamati ya utekelezaji mkoa wa Tabora eti hana imani...
  2. Z

    Hongera mh Kigwangala kwa kuipinga CCM Nzega!

    Mbunge wa jimbo la Nzega Mh Kigwangala ameonyesha ukomavu wa kisiasa, moyo wa kujiamini na kujitambua kama Mwakilishi wa wananchi na siyo mwakilishi wa chama chake kwa maana ya CCM! Mh Kigwangala ameandaa maandamano makubwa ya amani kwa kuwashirikisha wananchi wote wapenda maendeleo aidha...
  3. Z

    Dr Hamis Kigwangalla haeleweki ndani ya CCM

    Thank God leo Kigwangala kuwa muongelewaji humu ndani, lakini kwa upande wangu naomba niungane na wote wanaomataka kigwangala kufanya kazi zake nzega na si kwenye vyombo vya habari au Dar kama alivyoandika location yake, kwa msaada tu ni kwamba Dr hafanyi kazi kwenye jimbo lake bali anafanyia...
  4. Z

    UVCCM: Hussein Bashe amjibu Nape kiaina

    Wana Jf Jana Mwenyekiti wa Kamati ya REFORMS UVCCM, Hussein Bashe akiwa katika Mkutano Mkuu wa Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam, alitoa Onyo kwa UVCCM na Chama Cha Mapinduzi, Bashe alisema Wakati CCM na UVCCM wakisahau wajibu wao kwa Jamii na Kubaki Kulumbana na Kutuhumiana wenzeao CDM wako busy...
  5. Z

    Hussein Bashe na group lake ni mafisadi chipukizi?

    mbona watu mna hangaika sana! Uvccm wamefanya kikao chao kwa maslahi yao sasa wewe kama unaona hawaja kukuna hayakuhusu fuata yako mbona huu ugonjwa wa kumiliki akili za watu unataka kutawala hivi? Bashe ni mfanya kazi wa new habari kama alivyo mtanzania yeyote yule! na elimu ina mruhusu kuwa...
  6. Z

    Ushauri wa Bure kwa BASHE, AHAME CCM

    Ni DUBWANA gani hilo? namshauri dogo huyu huko aliko siko mawazo yake mara zote hayaendani na wana ccm nilibahatika kusoma hotuba yake alowahi kuitoa 2008 wakati akitangaza kugombea uenyekiti wa UVCCM akiainisha Vipaumbele vyake nikajua huyu DOGO hawatampa hiyo nafasi haya anayotaka kutekeleza...
  7. Z

    Ushauri wa Bure kwa BASHE, AHAME CCM

    Wana JF Nimekua nikifatilia kauli nyingi ambazo amekua akitoa huyu bwana mdogo ni kauli ambazo haziendani na wana ccm wa siku hizi,jana nikiwa kama mwandishi wa habari nilihudhuria mkutano amabo yeye alialikwa kama mgeni hotuba aliotoa huyu jamaa nikijaua kwanini CCM walimtosa,jamaa anaongea...
  8. Z

    Elections 2010 Waliotoka mjengoni ni hawa tu?

    67.Lucas Lumambo Selelii (Nzega)
  9. Z

    Selelii agoma kurudi Bungeni!?

    Nawashukuru wote mliotoa michango kunihusu na hasa mliolenga maisha binafsi, pili nikupongeze sana Dr kigwangala kwa kujibu post hii nikiomba ukaze buti maana safari bado ni ndefu na wale wenye mawazo kuwa kila anayegombea Nzega katumwa basi pole zao na hasa nikiwajulisha kuwa selelii kurudi...
  10. Z

    Selelii agoma kurudi Bungeni!?

    Wana JF, Ni muda mrefu kidogo sijawa na mawsiliano na mtandao huu hii ni kutokana na shughuli nzito ya kuvuna mpunga inayonikabili hapa tongi (Nzega) nimeamua kuandika hili ili basi tuendelee kupata wasaa mzuri wa kutafakari mengi ambayo tumekuwa tukiyajadili kuhusiana na siasa. Ikiwa ni wiki...
  11. Z

    Makamba kuunguruma Igunga Jumapili Hii !

    Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zinasema kuwa baada ya kupokea maandamano hayo, Mh Rajab Makamba pia atamuapisha Rostam Aziz kuwa kamanda wa vijana wilaya ya Igunga...
  12. Z

    Selelii aandaa mkutano mkubwa kumpongeza Mpendazoe!

    Poleni sana wana JF kwa kusubiri updates zangu juu ya nzega, nilipata family problems nikawa mbali sana na mawasiliano ya Internet ndo kwanza nimeingia mjini kati. infact kile kikao cha selelii hakikufanyika tena na kiliahirishwa na ghafla na jamaa siku hiyo akaondoka ghafla kuja Dar hadi...
  13. Z

    Selelii aandaa mkutano mkubwa kumpongeza Mpendazoe!

    Mbunge wa jimbo la Nzega na mmoja kati ya wale walioitwa wapambanaji wa ufisadi Lucas Lumambo Selelii kesho saa nane mchana atahutubia wakazi wa mji wa Nzega kuonyeshwa kufurahishwa kwake na kitendo cha ujasili cha aliyekuwa mpambanaji mwenzie wa ufisadi na mbunge wa kishapu mpendazoe cha...
  14. Z

    Rostam kuapishwa Jumapili!

    Mjumbe wa halmashauri kuu ya Taifa (MNEC) CCM anaeuwakilisha mkoa wa Tabora na Mbunge wa Igunga Mh Rostam Aziz Jumapili hii ataapishwa rasmi kuwa kamanda wa Uvccm wilaya ya Igunga katika kipindi cha miaka mitano ijayo. Rostam Aziz ataapishwa na mjumbe wa NEC kupitia vijana kutoka...
  15. Z

    Ajali tena Tabora!

    Ikiwa ni ndani ya wiki moja Mkoa wa Tabora kukumbwa na ajali mbaya za vyombo vya usafiri( Bus) Basi lililoua watu zaidi ya 24 mwanzoni mwa wiki hii wilayani Nzega A.M coach dakika chache zilizopita Basi jingine la kampuni hiyo limepata ajali mbaya ambapo watu watatu wamefariki papo hapo! ajali...
  16. Z

    Rostam anastahili miaka mingine 5 ya ubunge!

    Niniii? EL hajawahi kutoa mchango wowote bungeni? jamani hebu tuwe makini na post zetu vinginevyo tutajaza pumba humu!
  17. Z

    Maisha Plus nyuma ya pazia!

    Nashukuru Ama kwa mchango wako, upo huru kutoa wazo lako japo wazo lako haliweki mpaka wa kichwa changu kufikiri! jukwaa hili ni la hoja mchanganyiko so nimetoa hoja na ukweli ndio huo whether u like or not!
  18. Z

    Maisha Plus nyuma ya pazia!

    Nawashukuru wana jamvi woote ambao wametoa na wanaendelea kutoa michango yao, kitu cha msingi ni kuufanyia utafiti kila kina cho jiri ndani ya kijiji cha maisha Plus hasa kwa wale ambao wanaufatilia mchezo huu vinginevyo ni vigumu kuufatilia kama huna access hivyo kutoa michango ambayo haina...
  19. Z

    Maisha Plus nyuma ya pazia!

    katika kuthibitisha kile ambacho kimekuwa kikihisiwa na baadhi ya watu juu ya ushiriki wa dada zetu katika matukio mbali mbali ya ulimbwende nk kuwa ngono ni kigezo muhimu na wahusika huruka vihunzi mita 1000 mara wanapo ulizwa juu ya tuhuma hizo, ukweli unazidi kudhihirika kuwa yawezekana...
  20. Z

    M/kiti wa CCM mkoa wa Tabora ampigia debe Selelii

    yupo Dr kigwangala, Selelii, Simbakalia na Abdala Natco aah na Bashe kweli
Back
Top Bottom