Makamba kuunguruma Igunga Jumapili Hii !

Zyansiku

Member
Jul 27, 2009
49
10
Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zinasema kuwa baada ya kupokea maandamano hayo, Mh Rajab Makamba pia atamuapisha Rostam Aziz kuwa kamanda wa vijana wilaya ya Igunga kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, shughuli za kumuapisha R.A ilikuwa zifanyike miezi karibu miwili iliyopita lakini ziliahirishwa kutokana na R.A kuwa nje ya nchi kikazi.
 
Katibu mkuu wa CCM Taifa Mh Yusufu Rajab makamba wiki hii atafanya mkutano mkubwa wilayani Igunga ambapo atapokea maandamano makubwa. habari zaidi kutoka Igunga zasemakuwa baada ya kupoke maandamano hayo makubwa Mh R.M pia atamuapiamisha Rostam Aziz kuw kamanda wa vijana wilaya ya Igunga kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, shughuli za kumuapisha R.A ilikuwa zifanyike miezi karibu miwili iliyopita lakini ziliahirishwa kutokana na R.A kuwa nje ya nchi kikazi.

Hana cha kufanya hapo kafikia mwisho wa kufikiri
 
Igunga! Igunga! Msiyasikilize yanayosemwa bungeni kuhusu yeye...........(Maneno ya Waziri Mkuu) sasa ni zamu ya Yusufu! Yetu macho na masikio
 
Maskini Mbayuwayu wa Igunga, mnalazimishwa na mwenye shamba kumshnagilia tetere???????????? Sisi ndege wengine tunaona tunasalitiwa
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom