Search results

  1. mtweve

    Shahada ya uzamili

    Napenda kufanya masters lkn tatizo kipato....anayenipenda anipe scholarship ntamshukuru maishani
  2. mtweve

    Umri wa mtoto vs kilo zake

    Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake. naomba mniambie inasababishwa na nin? Nin athar zake? Na nifanyaje kuondkana na tatizo hilo? chakula ananyonya maziwa ya mama tu
  3. mtweve

    Tbc1 on azam tv

    Wadau naomba msaada,nafanyaje niweze kuona full screen tbc1 kwenye kisimbusi cha azam tv? Natanguliza shukrani....unaweza kuni pm au whatsap 0753 380 229
  4. mtweve

    Je, Nyerere hakuwa na mabaya katika utendaji wake?

    Kila mtu anasema mazuri ya mwl Nyerere, ina maana hakuna mabaya yake? Pengine kupitia hayo tutajifunza kitu
  5. mtweve

    Nionavyo mimi

    Baada ya mkutano mkuu wa CCM,wakaagizwa na mwenyekiti wao kuwa pamoja na mambo mengine kuwa mawaziri waweke utaratibu wa kuwaambia wananchi yale 'mazuri' waliyo fanya. Hapa nikakumbuka usemei usemao " matendo huongea vizuri kuliko maneno". Inawezwekama mimi ndio mpofu katika hili,Kwa maoni yangu...
  6. mtweve

    Upande wa pili wa CCM

    ...Binafsi na kwa dhati ya moyo nakiri kuwa hali ya CCM sasa ni mbaya,imezeeka,imekuwa kichaka cha wahuni,wala rushwa,wahujumu uchumi,mafisadi wa mali za umma,mradi wa kuendelea kimaisha...imekuwa simba mzee aliyeng'ooka meno hawezi kuwinda tena. pamoja na yote haya lakn tukumbuke...
  7. mtweve

    Ripoti ya tume maalum ya bunge-darusso(duce)

    Hii ni taarifa ambayomimi kama m/kiti nilisimamia baada ya kubaini ufisadi mkubwa
  8. mtweve

    Mkuchika: Walimu waliokimbia na fedha za serikali wazirudishe

    Waziri mwenye dhamana ya serikali za mitaa na tawala za mikoa,kapten George mukuchka amewataka walimu walio chukua fedha za kujikimu na mishahara na kisha kukimbia nayo walirudishe kabla ya hatua kali kuchukuliwa. Hii ni mara ya kwaza walimu kudaiwa na serikali badala ya serikali kudaiwa na walimu
  9. mtweve

    Jaji Werema: Ambaye hataki muungano ni mwendawazimu

    Ameyasema haya akihojiwa kipndi cha dk 45 ITV
  10. mtweve

    Ccm:chupa mpya mvinyo wa zamani

    Kilichotokea dodoma binafsi nilifahamu kitakuwa hivyo. Ndiyo! nilijua kuwa mwenyekiti kivuli wa ccm(kikwete) hana ubavu wa kuvua chama gamba ingawa sikutaka kujua ni gamba lipi linavuliwa kwa kuwa ccm ninayo ijua mimi ina magamba yasiyokuwa kuwa na idadi.Naomba nieleweke,sisemi kama mtu...
  11. mtweve

    Katiba mpya ya nini?

    Sipingi suala la katiba mpya,ila ni yaaina gani? Ya sasa inamakosa gani? Nilazima tuandke mpya? Kwa nini tusirekebishe ya sasa tu?
  12. mtweve

    Ccm marehemu mtarajiwa

    Nikiwa mwaka wa kwanza chuo kikuu,niliandika makala yenye kichwa hiki,nilipowaonyesha baadhi ya rafiki zangu,walinitisha,wakanidharau,wakaniona mwehu,wakaona mtu ninayetaka kuhatarisha maisha yangu ya shule,nikatishika,nikaachana na huo mpango.sijui kwa nini?,labda kwa vile nilikuwa 'form one'...
  13. mtweve

    Tanzania hatuhitaji demokrasia

    Kama vitu kwa mtazamo wangu havihitajiki katika nchi hii ya tanzania ni kuwa na mfumo wa serikali kupatikana kwa njia ya demokrasia.Najua nitapingana na wengi labda wakidhani kama hakuna demokrasia basi mbadala wake ni udikteta! zipo aina nyingi sana za serikali,labda tu kwa kuwa kumbusha kuna...
  14. mtweve

    Muungano

    Siku zote huwa napena kuuliza na nashukuru sa kwa vile majibu yenu huwa yananisaidia sana,hivi KEWLI BADO TUNAHITAJI MUUNGANO?
  15. mtweve

    Tafadhali nisaidieni!

    Awali ya yote niwashukuru sana walioamua kuanzusha chommbo kama hiki! mimi ni mwanafunzi wa mwaka pili UDSM.Ndoto zangu siku zotte za maisha yangu ni kuwa mwigzaji au mtangaji wa redio au TV. Kutokana na sababu mbalimbali peke yangu imekuwa ngumukutimiza ndoto zangu OMBI naomba sasa kama kuna...
  16. mtweve

    Back in politics

    Habari za siku nyingi ndugu zangu maana ni siku nyingui sana tangu nimeshiriki katika uwanja huu ambao matu na ama wasomi kwa ujmla huwa tunasoma au ktoa hoja zetu.Binafsi nilishindwa kutokana na sababu ambazo zilikuwa nje ya uwezo wangu kabisa.Kwanza HERI YA MWAKA MPYA! nimatumaini yangu kuw...
Back
Top Bottom