Kauli thabiti na hadi ulipowajibu walikwishajionyesha wote kuwa wana akili za mbuni, kuficha kichwa na mwili uko wazi. Naam Tambwe aliachwa akiwa mfungaji Simba na Kiiza aliachwa akiwa mfungaji Yanga sasa tatizo liko wapi?
Halafu Kiiza huyo huyo alieachwa Simba alianza kuachwa Yanga jee kwa...
Umenena! Hili lakutufanya wajinga si sahihi. Hivyo TIC na ukiritimba wake inaweza kuandikisha kiasi kikubwa hicho? Halafu hao wawekezaji huwa wanaamka tu na kuwekeza? Hebu TIC tuheshimuni na kuacha kutufanya hatujui chochote!
Kulikuwa na sababu ya kuwatusi? Au makabila mengine hawajui kumtusi mtu? Ukweli unampa mwenye makosa lakini anaekosewa hutumiwa lugha yengine kumwambia ukweli. Rais anapowaita vilaza alikusudia kuwasaidia au kuwakomoa? Busara haina gharama yoyote!
Kwa kweli Kessy ameeleza ukweli lakini amekosea kuwataka Wabunge wa Zanzibar kutoka kwenye Bunge la Jamhuri ya Tanzania. Jambo lililo sahihi hapa ni kwa Wabunge wa Tanganyika kutoka kwenye Bunge la Muungano na kwenda kutafuta Bunge la Tanganyika.
Kessy na wenzake waende wakaunde Bunge la...
Sasa hili jambo la kuweka HAPANA kwenye kupiga kura kuna maana gani?
Ilikuwa hakuna haja ya kupiga kura wala kufanya kampeni iwapo mna hakika kuwa watu wote wanaikubali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.