Hayo ni matokeo ya madrasa, bora angeandika kiarabu.
Every Child Is Entitled To A Good Education.So Parents Must Be Very Vigilant To Help Their Children To Pursue Their Goals.
There Must Be Check And Balances In Their Decisions To Avoid Negative Effects To Their Children.
Hayo ni matokeo ya madrasa, bora angeandika kiarabu.
Nilichomaanisha ni kwamba, kipindi ambacho umeshughulika kujiona wewe ni chachu ya mabadiliko kwa jamii huku unatumia kiingereza kuyashughulkia matatzo yao haitasaidia, ishu ya mtoto nimetumia km mfano wa watz wengi tulivyo juu ya lugha ngeni achilia mbali kusoma lugha yetu wenyewe
jamani mi ndo hussein khalfan..hayo maneno "I LOVE HIM XO MUCH" aliyasema mke wangu mpendwa siku ya birthday yangu...zen mi nikaandika my wife fetty nikaambatanisha na picha ili mumuone mke wangu aliyetamaka maneno hayo..ni vile tu nilikosea kuweka baadhi ya alama ndo mana ikawa haileti maana
Bora matokeo ya madrasa kuliko matokeo ya kule mnakofirwaa na maaskofu
Kwa Karne Hii Tunayoishi Sasa.Na Zama Hizi Za Utandawazi.Kuendelea Kukicategorize Kingereza Kama Lugha Ya Kigeni Ni Ufinyu Wa Mawazo Na Uvivu Wa Kufikiri.
Kiswahili Ni Lugha Na Tunaipenda.Lakini Kingereza Nacho Kina Role Kubwa Ya Kuplay.Na Tukipe Nafasi Kifanye Sehemu
Tusiendekeze Propaganda Za Watunga Sera Wapumbuvu.Kila Wanaposema "Sisi" Uwa Wanamaanisha "Nyie" Wakati Wao Wanafanya Kinyuma Na Familia Zao.Ukiwafatisha Hao Unapotea.
Hahahahahaha anaangalia kwa madahaa katoboa pua, kichwani bonge la wigi kasukwa na mwajuma
Madrasa hakuna love, love iko seminari.Hayo ni matokeo ya madrasa, bora angeandika kiarabu.
Kila nchi iliyoendelea ilitumia lugha yake yenyewe, iangalie China, sasa hivi kiepe yai hutak kuona kiingereza lugha ngeni kwa kua sisi hatujaendelea kwahyo tunalazimika kukumbatia hii lugha km vle ni ya kwetu.
Nchi zingne, ujeruman na china, wanatengeneza kompyuta zao na keyboard inakua ktk lugha ya kwao, vitabu vya kisayansi vyote na teknolojia vipo katk lugha yao
Sis tungeweza hayo leo wewe usingetaman kiingereza au lugha yoyote nje ya kiswahili kujumlishwa kua lugha yetu ya kuplay hzo role unazozihis
Huo Ndo Ufinyu Wa Mawazo Nnao Uzungumzia Na Hoja Za Vijiweni.Wachina, Wajerumani, Wafaransa N.K Wanajifunza Kingereza.Na Wanawaimiza Raia Wao Wajifunze Kingereza Na Lugha Nyingine.Kwasababu Dunia Imekua Kama Kijiji.Hata Hao Wamarekani Na Maendeleo Yao Wanajifunza Kiswahil Chetu.
Kujua,kutumia Au Kujifunza Kingereza Sio Dhambi.Lakini Hisiwe Sababu Ya Kukidharau Kiswahili Chako.Ukiishi Kinadharia Utaona Kingereza Hakina Nafasi.But Practically Kingereza Kina Role Kubwa Sana
Bora matokeo ya madrasa kuliko matokeo ya kule mnakofirwaa na maaskofu
jamani mi ndo hussein khalfan..hayo maneno "I LOVE HIM XO MUCH" aliyasema mke wangu mpendwa siku ya birthday yangu...zen mi nikaandika my wife fetty nikaambatanisha na picha ili mumuone mke wangu aliyetamaka maneno hayo..ni vile tu nilikosea kuweka baadhi ya alama ndo mana ikawa haileti maana
we mtt upo..nani alikuteka?ha ha haaaaa!
tumpelele kwa Rasi Simba atakuwa fiti.
Bora matokeo ya madrasa kuliko matokeo ya kule mnakofirwaa na maaskofu
we mtt upo..nani alikuteka?
Kuhusu roles kubwa za kiingereza ni kweli zipo
Kuhusu wachina kujifunza kiingereza sidhan km lina ukwel, fanya hivi, siku nenda k/koo jaribu kununua kopo la empty cd duka analouza mchina halaf muongeleshe kiingereza, sidhani km mtaenda sawa, ni sawa na french, baadh ya sehem za uingereza anaejua french anakua na fahari kubwa kushnda anayejua RP (royal pronunciation)