MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,067
- 15,697
Nadhan dogo anaweza akaishia City..Usajili Updates: Real Madrid wawaambia Arsenal Morata atagharimu Euro milioni 49.
Klabu ya Real Madrid wamewataadharisha klabu ya Arsenal kwamba endapo watataka kumsajili mshambuliaji huyo bais utabidi watoe kiasi cha Euro milioni 51 au sawa na paundi milioni 38.
Lakini kabla ya Arsenal kumsajili mchezaji huyo itabidi Real wamsajili upya halafu wamuachie asajiliwe na Arsenal hivyo kupata faida ma mbili.
Alvaro Morata
Madrid wanaweza kumnunua Morata kwa Euro milioni 30 na kumuuza kwa Euro milioni 51 wanakuwa wamepata faida ya Euro milioni 20.
Klabu hiyo ya Santiago Bernabeu miaka miwili iliyopita ilimsajili Morata kwa gharama ya paundi milioni 16 na endapo itamchukua kutoka Juventus itapoteza kama paundi milioni 8 hivi, lakini kuweza kupata faida mara mbili ikiwa kalbu kama Arsenal watafanya biashara asubuhi na mapema.
Hivi sasa mshambuliaji huyo yupo kwenye mazoezi na timu ya taifa ya Spain kujiandaa na Euro 2016 na wiki jayo anatarajiwa kukutana na maofisa wa Real Madrid.
Ntakuja na habari zaidi za usajili.
Wakati huohuo kumefanyika mabadiliko ya namba za jezi za wachezaji na Aaron Ramsey amepewa jezi namba 8 ambayo ilikuwa ikitumiwa na Mikael Arteta.
Ramsey alikuwa akitumia jezi namba 16.
Namba hio 8 imewahi kutumiwa na wakongwe Ian Wright na Freddie Ljungberg.
Alexis Sanchez nae amebadilisha namba ya jezi na atavaa namba 7 mgongoni badala ya 17 na namba hiyo 7 ilikuwa ikitumiwa na Tomas Rosicky.
Alex Iwobi atatumia namba 17 ambayo ilikuwa ni ya Alexis Sanchez. Iwobi alikuwa akivaa jezi namba 20.
Hivyo Gunners mkiwatazama wachezaji hawa wawapo uwanjani basi Ramsey ni 8 na Sanchez namba 7 na Alex Iwobi namba 17
You Guys should gp all over for Benzema Aisee, maana naona Madrid are in for Lewandowski.
Deal ya Morata inaweza ikadrag on mpaka August..mkajikuta mme-miss targets zingine..
But, round hii Wenger Means Business Aisee, GRANIT XHAKA ni BONGE ya SIGNING..