wrong turn
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 438
- 170
Sikatai anacho kisema ila huyu mkuu nahisi hayupo saw (anatatitizo), tatizo lake ni hili, anataka kulazimisha fito kupinda wakati imesha kacha.
kuna mambo 2 ambayo kayasema na yamenigusa.
1. Taifa letu tuliweke mbele kwanza siasa zije nyuma. Kila mwanasisa na watawala haya ndio maneno yao ila kivitendo wako vyengine kabisa, ila ukweli ni kwamba siasa ndio zinaongoza nchii hii.
2. Wanafunzi walio fukuzwa kuitwa vilaza. Nilianza kwa kujiuliza swali hivi hawa wanafunzi walisoma wapi huko mwanzo?, nikagundua ni nchii hii hii na sio Kenya o ruwanda, na km ni nchi hii hii wengi wao walitoka shule za serekali, so inamaana wakuitwa mwanzo vilaza ni hao walimu walio wasomesha na serkeli ndio watoaji hizo huduma za elimu, kwhiyo walio sababisha wawe vila ni serekali kulingan na mifumo yao ya elimu.
Madaraka mda mwengine huwa yanaleta kiburi, jeuri na misifa ila wacha tuone wape tunaenda lakini kwa nguvu hizi zakutaka kupindisha lori lenye mwendo wa kasi kwenye kona eti kwasababu ww ndie dereva mkuu iko siku tutaona maajabu yake.