Search results

  1. A

    CCM yatoa tamko kupanda kwa posho za vikao kwa wabunge

    Katika tamko hilo lililosainiwa na Nape Nnauye, CCM imepinga ongezeko hilo na hasa sababu iliyotolewa na Spika Makinda. Kwa taarifa zaidi fungua hapa http://www.mjengwablog.com
  2. A

    Mamluki Wasababisha Timu ya Waziri Mkuu Kutolewa SHIMIWI

    Timu ya Netball ya Ofisi ya Waziri Mkuu imetolewa kwenye mashindano ya SHIMIWI na kufutiwa ushindi wa mechi zao zote 4 kwa kuchezesha wachezaji ambao si watumishi wa Ofisi hiyo, wamechezesha wachezaji wa Timu za mitaani.
  3. A

    Fiesta on Clouds TV

    Kwa wale tulioshindwa kufika Leaders, the show is live on CLOUDS TV
  4. A

    Chadema na CCM wanawakati mgumu sana uchaguzi mdogo Igunga.

    CCM: Kwa sababu ya 'siasa zao uchwara' wamesababisha mbunge kipenzi wa wananchi wa Igunga ajiuzulu. CDM: Walikuwa wa kwanza kumtangaza RA fisadi, wameendelea kumbana na kuibana Serikali imfikishe mahakamani kwa kumuhusisha na wizi wa Fedha za EPA kupitia Kagoda, msukumo ambao umepelekea wana...
  5. A

    Amina Chifupa

    Ni miaka minne sasa tangu kifo kilipotutenganisha nawe tarehe 26.6.2007, tunashukuru kwa mchango wako juu ya madawa ya kulevya ulioutoa kule mjengoni. Ulitutoka siku ya kupiga vita matumizi mabaya ya dawa za kulevya, tulikulilia sana tukiongozwa na aliyekuwa Speaker wa Bunge letu Mzee 6. Wakuu...
  6. A

    Mwanasheria Mkuu ampongeza Tundu Lisu; atakiwa kufuta kauli

    Mb. Lisu ametoa mapendekezo ya kurekebisha mswada wa sheria ya fedha 2011, kwa kuwapa madaraka watendaji wa ngazi za chini katika ukusanyaji wa mapato, AG amekubali mapendekezo hayo na kuwashangaa wabunge kwanini hawajampigia makofi Mb Lisu kwa mapendekezo hayo. Live on TBC1 Now.
  7. A

    Hamad rashidi na mtatiro watofautiana juu ya mswada wa mchakato wa katiba

    Kwa waliosikiliza kipindi cha Baragumu cha Channel Ten asubuhi hii watakuwa wamesikia maoni ya Hamadi Rashidi kuwa Mswada huo ni mzuri na watanzania tunatakiwa kuunga mkono, baada ya kipengele cha mada kuisha waaendeshaji wa kipindi waliona ni busara kupata maoni ya kiongozi mwingine wa CUF na...
  8. A

    Kuibuka kwa 'BIBI' Tabora kunaashiria nini?

    Ameibuka mama anaetoa tiba ya kikombe huko Tabora kwa gharama ya TSH 500, ni muumini wa kikristo {haikutajwa kanisa gani} anatoa maombi kabla ya kikombe. Watu wengi wameonekana kwenye foleni wakisubiri tiba. Source ITV Hapa na Pale leo. Je, hii inaashiria nini? WaTZ wengi tuna magonjwa sugu...
  9. A

    Msaada: eMachines Charging Problem

    Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo laptop {Notbuk} yangu aina ya Accer eMachines model eM350 nikicharge ikifika 87% haiendelei tena kuingia charge hata kama nitaiacha kwenye charger kwa masaa 3 au zaidi. Je tatizo ni nini? Thanx in advance
Back
Top Bottom