Msaada: eMachines Charging Problem

Apta Kayla

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
324
71
Heshima kwenu wakuu. Nina tatizo laptop {Notbuk} yangu aina ya Accer eMachines model eM350 nikicharge ikifika 87% haiendelei tena kuingia charge hata kama nitaiacha kwenye charger kwa masaa 3 au zaidi. Je tatizo ni nini? Thanx in advance
 
Mkuu, ili tatizo limeanza lini? Awali halikuwepo? Na je hiyo 87 inachuku mda gani ukitumia battery?
 
Mkuu, ili tatizo limeanza lini? Awali halikuwepo? Na je hiyo 87 inachuku mda gani ukitumia battery?

Asante kwa kureply, tatizo limeanza miezi mi4 baada ya kuanza kuitumia, kabla ilikuwa nikicharge full na2mia mpaka 4hrs or zaidi kama ni kazi nyepesi like typing, lakini hiyo 87 imepunguza muda mpaka masaa3 na dakika chache, but now inacharge mpaka 75 tu na inadisplay 2hr na dakika kadhaa.
 
Back
Top Bottom